Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Hahahahaha sio fresh bro, uwe unafyozea mikito.com basi
Kiba ccm ndiyo imempoza sana na mm ndiyo hapo nilipoanza kumchukia mpaka kura nikawa simpigii tena
Kiba kapata kura nyingi kuliko dai majaji wamezingua
Umezungumza point kubwa sn mkui, inshot kiba anapaishwa kwakushindanishwa na domo, yan saiv ukimtaja diamond lazima nyuma yake umtaje kiba anatumia madhaifu ya diamond kujiboost, kama angekua anakubalika baas angetusua kua maarufu afrika tangu awali aliposhirikishwa na r kelly bt ni kama alipata zali la mentali iv, saiv atafamika mbal zaid coz anashindanishwa na diamond, vinginevo diamond akiacha mziki kiba anapotea kabsaa, huo ndoukweli
Kutokujituma na kutokua mbunifu maana alichezea bahati kipindi kile kapata upenyo wa kutoka na r kelly akajishauaa na misifa kibao hakufanya cha maana tena ingawa tayari angeweza kufanya ft na 2face amekuja kuzinduka domo yuko mbaliiii!! Na hana uwezo wa kumkuta tena hata hiyo ft na fallyipupa kachelewa.
Nilishawaambia tena hapa, ktma ndio tuzo pekee duniani ambazo kura ndio hutoa mshindi kwa 100% ndio maana kiba alipata kumbuka team za ma X wa dai including his walifunga kula kwa kipindi chote cha kupiga kura na pesa zao wakanunulia bundle kumpigia kiba kura, ndio maana tunawaambia kiba awe na subra mpaka ktma ijayo naye akenue tena meno kwa hisani yaa X BUT kwa hizi tuzo za kimataifa, vigenzo vinavozingatiwa its more than votes, as for which kiba hana hivyo vigezo
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.
Unapindisha kwani kati ya yeye na Chibu nani alirusha habari kwa kupondwa ka vile ni kufa au kuishi juu ya ccm kama sio Chibu.
Kiba kaanza kurusha picha za ccm baada ya kuona wana habaribwalifatilia 40 ya mtoto wa Diamond na Zari na sio kazi yake ya Tembo na sijui amani Rwanda sijui Burundi hapo ndio akaona atoke tu liwe na liwe ila hakuvutia kupondwa kama Diamond aka Chibu.
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.
Maskini..bado hujanyooka.. Ngoja nikunyooshe na pima maji halafu urudi kuandika tena