Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Chuki hufumba macho ya busara....aliekufa hufumba macho kama alielala lakini KAMWE USINGIZI HAULINGANI NA KIFO!!wanamponza Kiba kwa kimfananisha na Domo nae anakubali tu ki boya boya....vita hii haimsaidii but rather inamdhuru sana kisanii...
 
  • Thanks
Reactions: me1
Kiba ccm ndiyo imempoza sana na mm ndiyo hapo nilipoanza kumchukia mpaka kura nikawa simpigii tena

Unapindisha kwani kati ya yeye na Chibu nani alirusha habari kwa kupondwa ka vile ni kufa au kuishi juu ya ccm kama sio Chibu.

Kiba kaanza kurusha picha za ccm baada ya kuona wana habaribwalifatilia 40 ya mtoto wa Diamond na Zari na sio kazi yake ya Tembo na sijui amani Rwanda sijui Burundi hapo ndio akaona atoke tu liwe na liwe ila hakuvutia kupondwa kama Diamond aka Chibu.
 
Kiba kapata kura nyingi kuliko dai majaji wamezingua

Nilishawaambia tena hapa, ktma ndio tuzo pekee duniani ambazo kura ndio hutoa mshindi kwa 100% ndio maana kiba alipata kumbuka team za ma X wa dai including his walifunga kula kwa kipindi chote cha kupiga kura na pesa zao wakanunulia bundle kumpigia kiba kura, ndio maana tunawaambia kiba awe na subra mpaka ktma ijayo naye akenue tena meno kwa hisani yaa X BUT kwa hizi tuzo za kimataifa, vigenzo vinavozingatiwa its more than votes, as for which kiba hana hivyo vigezo
 
Kiba n msanii alie na kipaji....kam ana majivuno bas anahitaj kuyapunguza...always da successful person relies on wat has been said by his fans n his o her weakness.....wake up kiba
 
Umezungumza point kubwa sn mkui, inshot kiba anapaishwa kwakushindanishwa na domo, yan saiv ukimtaja diamond lazima nyuma yake umtaje kiba anatumia madhaifu ya diamond kujiboost, kama angekua anakubalika baas angetusua kua maarufu afrika tangu awali aliposhirikishwa na r kelly bt ni kama alipata zali la mentali iv, saiv atafamika mbal zaid coz anashindanishwa na diamond, vinginevo diamond akiacha mziki kiba anapotea kabsaa, huo ndoukweli

Kutokujituma na kutokua mbunifu maana alichezea bahati kipindi kile kapata upenyo wa kutoka na r kelly akajishauaa na misifa kibao hakufanya cha maana tena ingawa tayari angeweza kufanya ft na 2face amekuja kuzinduka domo yuko mbaliiii!! Na hana uwezo wa kumkuta tena hata hiyo ft na fallyipupa kachelewa.
 
Usiogope Mtanzania,
Atapewa tena 5 na Kill.,
 
Nilishawaambia tena hapa, ktma ndio tuzo pekee duniani ambazo kura ndio hutoa mshindi kwa 100% ndio maana kiba alipata kumbuka team za ma X wa dai including his walifunga kula kwa kipindi chote cha kupiga kura na pesa zao wakanunulia bundle kumpigia kiba kura, ndio maana tunawaambia kiba awe na subra mpaka ktma ijayo naye akenue tena meno kwa hisani yaa X BUT kwa hizi tuzo za kimataifa, vigenzo vinavozingatiwa its more than votes, as for which kiba hana hivyo vigezo

Afrimma vote ni 50% zinakusaidia tena zinatoka nchi tofauti , pia collabo za kimataifa umefanya ngapi na impact yake na mwisho ni uamuzi wa majaji
 
Washabiki ubwabwa ndio wanamuharibu, haters wa diamond walipofanya kampeni ya kili kumpa zile tuzo za free akaona kweli anajua, alipopanda daladala akaona kafika high level, kachelewa sana, ashukuru uwepo wa diamond kwenye music ndio unamfanya awepo nae, vinginevyo kiba hana tofauti na juma nature, Zilipendwa tu
 
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.
 
Wewe na Familia Yako yote changanya na mifugo ya asili Kama Chawa na kunguni Diamond anaweza kuwanunua mkafanya Kazi ya kupalilia Maua nyumbani kwake
 
Sawa tu na bado.alishaungana maCCM ahujumuwe akuna njia
 
Unapindisha kwani kati ya yeye na Chibu nani alirusha habari kwa kupondwa ka vile ni kufa au kuishi juu ya ccm kama sio Chibu.

Kiba kaanza kurusha picha za ccm baada ya kuona wana habaribwalifatilia 40 ya mtoto wa Diamond na Zari na sio kazi yake ya Tembo na sijui amani Rwanda sijui Burundi hapo ndio akaona atoke tu liwe na liwe ila hakuvutia kupondwa kama Diamond aka Chibu.

Pardon., please!!!
 
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.

Maskini hadi nimeanza kukuonea huruma, u need to see a doctor for real!
 
Back
Top Bottom