Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

alikiba baadae saana yani pamoja na kumuiga chibu da ngote kuipigia ccm kampeni ila bado chali!!!!...... haah haah na watamnyoosha tu maana hakuna namna si muda atastafu muziki
 
kama hzo ni za vichochoroni tuzo zipi ni za barabarani?ktma au maana daimond ana tuzo kbao za kimataifa kuanzia mtv,chanel o na nyngnezo.kba mwisho kariakoo duniani kila mtu PLATNUMZ BABY
 
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.

Teh Teh wewe umezijuaje? Kwa hiyo umesha sahau uliyo yasema mwanzo?
 
na ww katika kuhesabu kula ulikuwepo mpaka ujue kahujumiwa.......
 

Subir dawa ikuingie ww hizo sio ktma
 
Ally kiba anaweza kushindana na Best naso na wasanii wa level zake
 
Reactions: me1
Hahahahahaha nifah naona yupo kwenye harakati za mabadiliko... Si tunaendelea kunyooosha..
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.

Mi nilijua oscar bhana kumbe huo upuuzi mxieww
 
Naona wadau hapo juu wameeleza vizuri tu ni juu yake yeye kuyafanyia kazi,ila na mimi ninawekea msisitizo MASHABIKI WAKE WANAMPOTEZA KWA KUMTAKA AFANYE MAMBO YALIYO NJE NA UWEZO WAKE KAMA KAAMUA KURUDI BASI AENDE KWA KANUNI SI KWA PRESHA YA WANAOMCHUKIA DIAMOND NDO AKAWAFUATA LAKINI PIA AWEKEZE.
 
Hv ommy dimpoz katolewa na Ali kiba lkn leo dimpoz anachukua tuzo ali hupati hv unajiskiaje

Kiba aliharibu pale tu aliporudi na mbwe mbwe za nimekuja kufuta vumbi, alionesha dharau ya hali ya juu, basi onesha dharau kama hivyo alafu ufanye mambo ya maana, dharau nyingi mbwe mbwe nyingi lakini kazi hakuna. Hakuishia hapo akaulizwa anaona ni sawa kulinganishwa na dai akajibu kwa nyodo 'nachukizwa sana kulinganishwa na diamond, dai sio level zangu kabisa, labda mumlinganishe na mdogo wangu abdukiba. Hizi nyodo na dharau zitamgharimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…