Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh mzee wa vibwengo hajaamka hadi sasa subiri uone atakavyo anzisha nyuzi hadi server zita stuck...
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.
Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.
Mambo mengine, ni busara zaidi kukaa kimya!
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.
Yaani umeongea pointi mpaka basi.Mambo mengine, ni busara zaidi kukaa kimya!
Hv ommy dimpoz katolewa na Ali kiba lkn leo dimpoz anachukua tuzo ali hupati hv unajiskiaje