Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Basket mouth yupo jukwaani anafanya yake watu full vicheko
 
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).

Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.

#Rorkstar4000 , #papleeeni

😂😂😂 umeamini Sasa kiba alibahatisha kili awards, 😂😂 nicheke mie haloooooo, halo ya mnyoosho bila pasi,😂😂😂
 
So fa biggest winneq is diamond platnumz with best east africa, artist of the year and best dance video, 3 awards
 
Back
Top Bottom