Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.

Bora uwe mchawi kuliko kuwa na wivu kama wako!! by the way mbona unaumia sana mtanzania mwenzako kufanikiwa? hiyo ni roho ya kichawi!! hata hivyo ukasirike,ufurahi au ziwe za vichochoroni ndo keshachukua tayari!! kafanye mambo yako ya maendeleo ili na wewe ujulikane siku moja sio kuwa na chuki kwa kijana mwenzio.
 
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.

Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.

Toa ushahidi
 
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Tuzo.jpgTuzo.jpg
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).

Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.
#Rorkstar4000 , #papleeeni

babies-eating-lemons.jpg
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.
Sizitaki-Mbichi-Hizi.jpg
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.

"Sizitaki mbichi hizi" Sungura akagumia,
"Naona nafanya kazi, bila faida kujua",
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikia,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.

Mtanyooka.jpg
 
Nilishawaambia tena hapa, ktma ndio tuzo pekee duniani ambazo kura ndio hutoa mshindi kwa 100% ndio maana kiba alipata kumbuka team za ma X wa dai including his walifunga kula kwa kipindi chote cha kupiga kura na pesa zao wakanunulia bundle kumpigia kiba kura, ndio maana tunawaambia kiba awe na subra mpaka ktma ijayo naye akenue tena meno kwa hisani yaa X BUT kwa hizi tuzo za kimataifa, vigenzo vinavozingatiwa its more than votes, as for which kiba hana hivyo vigezo

Weka wazi hivyo vigezo
 
View attachment 297691View attachment 297691

View attachment 297688

View attachment 297689
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikia,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.

View attachment 297690

Heshima yako saana mkuu

UMETISHAAAAA!!!!
 
hizi tuzo ni feki, Ommy Dimpoz ana muda gani kwenye mziki?

Kimataifa ommy dimpoz ndo kwanza anaanza sasa unashangaa nin? hata kiba siku mtv wakimueka kwenye new artist usishangae maana bado hana ukubwa africa
 
Huyo mbona hamna kitu, amshukuru sana diamond kwa kumvutavuta kupitia kibeef chao...

Na ndio maana wabasema, GARI YA KUVUTWA HAI OVERTAKE kwahiyo mashabikiwa kiba kama mnategemea makuwa kama mnavyoona kwa chibu msahau!!!!!!!

DIAMOND NI KITU KINGINE!! MSANII PEKEE ANAOWANYIMA USINGIZI WASANII WAKUBWA WA NAIJA!!!

NA WATANYOOKA TU!!!
 
Umezungumza point kubwa sn mkui, inshot kiba anapaishwa kwakushindanishwa na domo, yan saiv ukimtaja diamond lazima nyuma yake umtaje kiba anatumia madhaifu ya diamond kujiboost, kama angekua anakubalika baas angetusua kua maarufu afrika tangu awali aliposhirikishwa na r kelly bt ni kama alipata zali la mentali iv, saiv atafamika mbal zaid coz anashindanishwa na diamond, vinginevo diamond akiacha mziki kiba anapotea kabsaa, huo ndoukweli

Well said..angekuja hapa huyo king kiba kusoma muongozo wa jins ya kufanya mziki wake ukue
 
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).

Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.

#Rorkstar4000 , #papleeeni

Diamond plutnumz mond bin award amekunyoosha sijui kwa pasi gani maana huu uzi kama ulikurupuka utafuta!!!
 
komaa na ukawa ila andaa kitu kingine cha kukomaa nacho endapo hiyo option yako itafail
 
Wakuu nimejaribu kuzifatilia hizi tuzo, kumbe ni za kiswahili sana, hazijulikani popote duniani, hizi tuzo zipo kibiashara zaidi, bila kufanya collabo na mnaijeria au bila kuroga huwezi kupata.

Mkuu pole sana inaonekana Chibu anakunyoosha kweli kweli!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom