Usiku wa deni hauchelewi. Likizo ya RC Makonda inakaribia ukingoni

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Tarehe 26 Julai baada ya kauli hii na ile za kimtandao kumhusu RC Makonda mmoja wa Wasaidizi wake alitoka hadharani na kuweka wazi kuwa RC yuko likizo ya kawaida.

Likizo hii ya kawaida kwa mujibu wa miongozo ya kiutumishi ni wiki 4 tu. Sasa tukipiga hesabu kuanzia tarehe ambazo alianza kuadimika anapaswa kumaliza likizo kabla ya tarehe 20 Agosti.

Hivyo wiki ijayo atamalizia likizo yake na kuripoti kazini.

Pia kama Makonda kwa makusudi kabisa aliamua kukaa kimya baada ya rumors kuhusu yeye basi atakuwa amekomaa kisiasa na kama alijitengenezea kiki basi bado hajapevuka kisiasa
 
Tarehe 26 Julai baada ya kauli hii na ile za kimtandao kumhusu RC Makonda mmoja wa Wasaidizi wake alitoka hadharani na kuweka wazi kuwa RC yuko likizo ya kawaida. Likizo hii ya kawaida kwa mujibu wa miongozo ya kiutumishi ni wiki 4 tu. Sasa tukipiga hesabu kuanzia tarehe ambazo alianza kuadimika anapaswa kumaliza likizo kabla ya tarehe 20 Agosti.

Konda boy utoto mwingi

Ona sasa mauti inamyemelea
 
Atakuwa mapunzikoni huko Marekani
 
Makonda kama unamjua vizuri ni kwamba huwa hajibu "rumors" za kipuuzi. Sikia hii;
a) Hakuwahi kujibu chochote alipoandamwa kuwa yeye ni Bashite na sio Paul Makonda.
b) Hakujibu chochote iliposemwa alimpiga Mzee Warioba.
c) Hakusema chochote ilipodaiwa alivamia Ofisi za Clouds FM.
d) Hajawahi kuelezea chochote kwenye tuhuma kuwa anahusika na upotevu wa mhuni Ben Sanane.
e) Hajawahi kuelezea chochote kuhusu tuhuma anazopewa na Chadema kuwa alimshambulia msema hovyo Lissu Dodoma.

Sasa, kwanini ahangaike kujibu trivial issue kama hii ya sasa?
 
Acha kumpa kiki za kijinga huyo Makonda wako. Mbona yupo likizo huko nje na juzi alikuwa beach Fulani na mke wake.
 
Makonda kama unamjua vizuri ni kwamba huwa hajibu "rumors" za kipuuzi. Sikia hii;
a) Hakuwahi kujibu chochote alipoandamwa kuwa yeye ni Bashite na sio Paul Makonda.
b) Hakujibu chochote iliposemwa alimpiga Mzee Warioba.
c) Hakusema chochote ilipodaiwa alivamia Ofisi za Clouds FM.
d) Hajawahi kuelezea chochote kwenye tuhuma kuwa anahusika na upotevu wa mhuni Ben Sanane.
e) Hajawahi kuelezea chochote kuhusu tuhuma anazopewa na Chadema kuwa alimshambulia msema hovyo Lissu Dodoma.

Sasa, kwanini ahangaike kujibu trivial issue kama hii ya sasa?
Tuwe tu wakweli, hivi ile zero brain inaweza kujibu nini kwa mfano?
 
Nawe kuwa mkweli, kwa social reality iliyopo Tanzania, kati ya wewe uliye nyuma ya keyboard ukitumia pseudo name (jina bandia) kumsema vibaya Makonda na Makonda ambaye aliishawahi kuwa Kamanda wa Chipukizi CCM Taifa, DC Kinondoni, RC Dar es Salaam, Katibu Mwenezi, Itikadi na Mafunzo CCM Taifa na sasa RC Arusha nani zero brain!? Ahahahahaha!!!
 
Ukiwa mtu hatarishi kwenye jamii lazima watu wachukue tahadhali na wewe, utaongelewa kila siku. Ni sawa na Jiwe, ataongelewa sana ili jamii isijefanya kosa kama lile tena
Kama ndivyo mnavyojifariji ni sawa
 
Makonda kama unamjua vizuri ni kwamba huwa hajibu "rumors" za kipuuzi. Sikia hii;
a) Hakuwahi kujibu chochote alipoandamwa kuwa yeye ni Bashite na sio Paul Makonda.
b) Hakujibu chochote iliposemwa alimpiga Mzee Warioba.
c) Hakusema chochote ilipodaiwa alivamia Ofisi za Clouds FM.
d) Hajawahi kuelezea chochote kwenye tuhuma kuwa anahusika na upotevu wa mhuni Ben Sanane.
e) Hajawahi kuelezea chochote kuhusu tuhuma anazopewa na Chadema kuwa alimshambulia msema hovyo Lissu Dodoma.

Sasa, kwanini ahangaike kujibu trivial issue kama hii ya sasa?
So Ben sa nane alikua Muhuni? Mungu atakutenda mpaka ujute zaliwa dunia hii asema Bwana na imekua ,tunza hii
 
Back
Top Bottom