Usiku wa deni hauchelewi. Likizo ya RC Makonda inakaribia ukingoni

Tarehe 26 Julai baada ya kauli hii na ile za kimtandao kumhusu RC Makonda mmoja wa Wasaidizi wake alitoka hadharani na kuweka wazi kuwa RC yuko likizo ya kawaida.

Likizo hii ya kawaida kwa mujibu wa miongozo ya kiutumishi ni wiki 4 tu. Sasa tukipiga hesabu kuanzia tarehe ambazo alianza kuadimika anapaswa kumaliza likizo kabla ya tarehe 20 Agosti.

Hivyo wiki ijayo atamalizia likizo yake na kuripoti kazini.

Pia kama Makonda kwa makusudi kabisa aliamua kukaa kimya baada ya rumors kuhusu yeye basi atakuwa amekomaa kisiasa na kama alijitengenezea kiki basi bado hajapevuka kisiasa
Tafuta bwana utulie
 
Chugga imepoa kama ipo msibani, wacha aje kuchsngamsha , Dubai amekaa sana.
 
Sijaona jambo la kujifariji hapo, unless umekosa cha kuchangia ukaamua kujificha kwenye hilo neno lisilo na mantiki hapa.
Hoja ya kutetea imestahili hilo jibu.
 
Back
Top Bottom