kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Sumu sumu sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaisa!Achana nae bhana...Kama wa kuja atakuja tu
Makonda kama unamjua vizuri ni kwamba huwa hajibu "rumors" za kipuuzi. Sikia hii;
a) Hakuwahi kujibu chochote alipoandamwa kuwa yeye ni Bashite na sio Paul Makonda.
b) Hakujibu chochote iliposemwa alimpiga Mzee Warioba.
c) Hakusema chochote ilipodaiwa alivamia Ofisi za Clouds FM.
d) Hajawahi kuelezea chochote kwenye tuhuma kuwa anahusika na upotevu wa mhuni Ben Sanane.
e) Hajawahi kuelezea chochote kuhusu tuhuma anazopewa na Chadema kuwa alimshambulia msema hovyo Lissu Dodoma.
Sasa, kwanini ahangaike kujibu trivial issue kama hii ya sasa?
Mimi sio Warioba. Muulize yeye.Kwa hiyo Warioba alipigwa na nani?
Rubbish!So Ben sa nane alikua Muhuni? Mungu atakutenda mpaka ujute zaliwa dunia hii asema Bwana na imekua ,tunza hii
NdioMakonda kama unamjua vizuri ni kwamba huwa hajibu "rumors" za kipuuzi. Sikia hii;
a) Hakuwahi kujibu chochote alipoandamwa kuwa yeye ni Bashite na sio Paul Makonda.
b) Hakujibu chochote iliposemwa alimpiga Mzee Warioba.
c) Hakusema chochote ilipodaiwa alivamia Ofisi za Clouds FM.
d) Hajawahi kuelezea chochote kwenye tuhuma kuwa anahusika na upotevu wa mhuni Ben Sanane.
e) Hajawahi kuelezea chochote kuhusu tuhuma anazopewa na Chadema kuwa alimshambulia msema hovyo Lissu Dodoma.
Sasa, kwanini ahangaike kujibu trivial issue kama hii ya sasa?
Sijaelewa "Ndio" yako unamaanisha nini maana hapo ilipo quote hakuna jibu la ndiyo.🙏🙏🙏🙏Ndio
Kwa hiyo Warioba alipigwa na nani?
Nilimaanisha kukubaliana na andiko lako mkuu,, umenena vyema sana,,Sijaelewa "Ndio" yako unamaanisha nini maana hapo ilipo quote hakuna jibu la ndiyo.🙏🙏🙏🙏
Ahsante Mkuu. Tupo pamoja!🙏🙏🙏🙏Nilimaanisha kukubaliana na andiko lako mkuu,, umenena vyema sana,,
Huyu aliyemshika Mzee Warioba kiuno ndio Makonda?
Marekani hawezi kupata Visa. US Embassy walitoa waraka.Atakuwa mapunzikoni huko Marekani
Mpumbavu wewe!Mimi sio Warioba. Muulize yeye.
Sijaona jambo la kujifariji hapo, unless umekosa cha kuchangia ukaamua kujificha kwenye hilo neno lisilo na mantiki hapa.Kama ndivyo mnavyojifariji ni sawa
Unajua wewe unaweza kuwa zero brain zaidi ya huyo Bashite, so unataka kila mmoja lazima ashike hivyo vyeo vya kisiasa? Mkiambiwa kuwa nyie ni wajinga mnasema mmetukanwa, sasa mtu anakataa kuwa Bashite siyo zero brain kwa sababu tu amewahi shika vyeo vya kisiasa. PatheticNawe kuwa mkweli, kwa social reality iliyopo Tanzania, kati ya wewe uliye nyuma ya keyboard ukitumia pseudo name (jina bandia) kumsema vibaya Makonda na Makonda ambaye aliishawahi kuwa Kamanda wa Chipukizi CCM Taifa, DC Kinondoni, RC Dar es Salaam, Katibu Mwenezi, Itikadi na Mafunzo CCM Taifa na sasa RC Arusha nani zero brain!? Ahahahahaha!!!
Wewe stress zinakusumbua tu! Inawezekana ulikuwa hulali unabundi ukafikiri ndio utayaweza maisha. Umekija kwenye uhalisia unashangaa Makonda aliyesoma "Evening Class" Pamba Secondary ndio anatoboa! Ahahahahaha!!!Unajua wewe unaweza kuwa zero brain zaidi ya huyo Bashite, so unataka kila mmoja lazima ashike hivyo vyeo vya kisiasa? Mkiambiwa kuwa nyie ni wajinga mnasema mmetukanwa, sasa mtu anakataa kuwa Bashite siyo zero brain kwa sababu tu amewahi shika vyeo vya kisiasa. Pathetic
Ahahahahaha!!!Mpumbavu wewe!