Usiku wa deni hauchelewi. Likizo ya RC Makonda inakaribia ukingoni

Makonda kama unamjua vizuri ni kwamba huwa hajibu "rumors" za kipuuzi. Sikia hii;
a) Hakuwahi kujibu chochote alipoandamwa kuwa yeye ni Bashite na sio Paul Makonda.
b) Hakujibu chochote iliposemwa alimpiga Mzee Warioba.
c) Hakusema chochote ilipodaiwa alivamia Ofisi za Clouds FM.
d) Hajawahi kuelezea chochote kwenye tuhuma kuwa anahusika na upotevu wa mhuni Ben Sanane.
e) Hajawahi kuelezea chochote kuhusu tuhuma anazopewa na Chadema kuwa alimshambulia msema hovyo Lissu Dodoma.

Sasa, kwanini ahangaike kujibu trivial issue kama hii ya sasa?

Kwa hiyo Warioba alipigwa na nani?
 
Ndio
 
Kwa hiyo Warioba alipigwa na nani?
20240508_204434.png
 
Nawe kuwa mkweli, kwa social reality iliyopo Tanzania, kati ya wewe uliye nyuma ya keyboard ukitumia pseudo name (jina bandia) kumsema vibaya Makonda na Makonda ambaye aliishawahi kuwa Kamanda wa Chipukizi CCM Taifa, DC Kinondoni, RC Dar es Salaam, Katibu Mwenezi, Itikadi na Mafunzo CCM Taifa na sasa RC Arusha nani zero brain!? Ahahahahaha!!!
Unajua wewe unaweza kuwa zero brain zaidi ya huyo Bashite, so unataka kila mmoja lazima ashike hivyo vyeo vya kisiasa? Mkiambiwa kuwa nyie ni wajinga mnasema mmetukanwa, sasa mtu anakataa kuwa Bashite siyo zero brain kwa sababu tu amewahi shika vyeo vya kisiasa. Pathetic
 
Wewe stress zinakusumbua tu! Inawezekana ulikuwa hulali unabundi ukafikiri ndio utayaweza maisha. Umekija kwenye uhalisia unashangaa Makonda aliyesoma "Evening Class" Pamba Secondary ndio anatoboa! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom