Usiku wa kisamvu cha kopo

Usiku wa kisamvu cha kopo

Mkuu ni shughuli za mashoga na wadangaji hizo,wenyewe ndo wanazielewa.
Nikupe tafsiri ya samvu LA kopo ni mchezo wa kinyume na maumbile.unaskia anatoa kisamvu cha kopo,ama analiwa kisamvu cha kopo ujue ndo hivi maanake.
Na hiyo shughuli nadhani nimeona clip yake..wamejaa mashoga wa kila aina ukumbini na hao wadada wasiostarabika.wamevaa sare ni kushindana kutingisha matako tu wakiongozwa na hill kubwa lao aggrey
Laana maradufu
Umeiona wapi?shughuli ni leo tarehe 23 Dec.
 
Watajaa mashangingi na mashoga kibao wakiongozwa na kungwi wao Aggrey, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Mtunzi wa Tangazo kafanikiwa kwa kiwango kikubwa, Ametimiza lengo, na wewe umemsaidia kujitangaza zaidi., bila ya kujua wala kulipwa.
  • Ukisikia mjini shule, akili kichwani ni katika events kama hizo.
  • Muuandaa event tayari ana target yake ya kujiingizia kiasi kadhaa cha fedha cha kufungia mwaka.
  • Na target ya wateja anaifahamu fika, kwa nini asiwatumie ili kujipatia kipato!
Marketing strategy kali sana japo ya kifedhuli[emoji1787][emoji1787]

Hio show ina wadau wake na lazima watimbe akiwemo mleta mada[emoji2]
 
Back
Top Bottom