JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Hata kwetu Mburahati nilikohamia sasa.Huko Dar kwenu kuna maeneo kama Tabata, Tandale, Kigogo, Kawe, Manzese, Kinondoni, Mbagala, Sinza, Temeke, Gomzi, Vingunguti na M/Nyamala sio rafiki na salama kwa malezi na kulea watoto.