Usiku wa kisamvu cha kopo

Usiku wa kisamvu cha kopo

Wakuu naomba muongozo, nimekuta haya matangazo kadhaa mitandaoni yakiongozwa na bidada Al-maaruf Mariam Biriani yene jina la USIKU WA KISAMVU CHA KOPO.

Kwa kweli hilo jina na hizo picha za matangazo zimenisisimua kidogo. Kuna nini huko naomba kujua, kama nini nijiandae tu

View attachment 2052837
Onyesho la mashoga. Mariam Biriani alivujisha video zake akiliwa kisamvu cha kopo. Huyo Àgrey naye ni shoga maarufu.
 
Back
Top Bottom