Usiku wa kwanza wa ndoa

Usiku wa kwanza wa ndoa freestyle

Sihitaji kampani, niko deep romance hadi kwapani.../

Hili gari naliweza niachie usukani, nipite nalo muheza nikawasalimie pwani.../

Bed linanijua kua Scars kuchoka ni nadra, nakamua kiume bila msaada wa viagra.../

Harufu ya marashi inaongeza stimu, nifanye ka gwajima tujirekodi kwa simu.../

Mpishi wa mapenzi acha nikupe maujiko, dadeki zege la leo halilali hata aje fundi maiko.../
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…