Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

Joined
Mar 14, 2019
Posts
87
Reaction score
60
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.

Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.

Nilishindwa kulala, hii maana yake nini wakuu.
 
Mkuu ni kawaida alikuwa anaota hyo hali hata mm huwa inanitokea naota naanza kulia mpaka mtu aniamshe so relax hizo ni hallucinations tu
Hizo Ndoto Zitakuwa Na Mambo Mazito. Sio Kawaida Halafu Nilivyomuona Tu, Akaacha Kulia Mara Moja
 
ni ndoto tu ondoa shaka. kuna ndoto zinakuwa intense hata muhusika anahisi kama kweli. jaribu kumuuliza anaweza kukumbuka uzito wa hiyo ndoto.
 
Back
Top Bottom