Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,055
- 2,466
Kiukweli nimeshangaa jamaa amepiga haswaaa!!!
Yani Marefa waliposikia tu Rais na Waziri Mkuu wanawatch game nikajua watapendelea sijui wamfurahishe nani sasa.Yaani aibu kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli nimeshangaa jamaa amepiga haswaaa!!!
Kapigika saaafi......Mfaume guarding yake sio japo ni bondia mzuri
Yeah yule asingepata timing ingekuwa shida yuko well organisedMzimbabwe alianza vizuri sema punch zake hazina nguvu.
Galiatano movement zake ziko poa huchoki kumwangalia sema punch zake bado hazina uzito wa kumkalisha mpinzani. Movement za Galiatano safi sana u anatamani pambano lisiishe.
Kiukweli nimeshangaa jamaa amepiga haswaaa!!!
Yaani hadi nilijihisi aibu kuwa mtanzania kwa kile alichofanyiwa yule Mmalawi!Na Hii ndio sababu michezo ya Kitanzania haifiki mbali. Kwanza Mfaume Sio Professional and Strategic. Inaelekea amejifunza ngumi kwenye Viroba vya Mchanga na Matairi.
Yule Mmalawi ameshinda na hata 90% ya sapota wa Mfaume walikuwa wameshaanza kuondoka wakijua Mshind ni nani.
Mmalawi ameshinda idara zote. He is tactical, Observer and Professional. Japo alijua yeye ndio Mshindi, lakini wala hajamaindi Mfaume alipotangazwa.
Shida Watz hatujui kuwa dunia inatizama na hii inatuathiri kwenye international games . Hata majaji wetu watabaki kuwa majaji wa hapo hapo ; hawawezi kupanda kimataifa, they are stupid and ignorant. Hawathamini kazi yao kwa vi laki 3 wanavopewa kama Hongo. Ni ujinga.
Tutaishia humu humu. Haiwezekani mtu ashinde obviously na usimtangaze kisa game imechezwa kwenu —— SHAME ! And the worst part ni kwamba tunajiharibia wenyewe kimichezo.
Na hiyo Simba safari yake ya mwisho iwe Benjamin Mkapa . Hatuwezi kushiriki michuano ya kimataifa. We are not serious.
Mkuu hapo kwenye Simba ndi umeharibu. Uko ki utopolo zaid. Anyways umeingea points in general. Ukumbi ulikua kimya na wasiwasi mwingi kumaanisha mfaume kapigwa. Nilishangaa kwa kweli the other way round.Na Hii ndio sababu michezo ya Kitanzania haifiki mbali. Kwanza Mfaume Sio Professional and Strategic. Inaelekea amejifunza ngumi kwenye Viroba vya Mchanga na Matairi.
Yule Mmalawi ameshinda na hata 90% ya sapota wa Mfaume walikuwa wameshaanza kuondoka wakijua Mshind ni nani.
Mmalawi ameshinda idara zote. He is tactical, Observer and Professional. Japo alijua yeye ndio Mshindi, lakini wala hajamaindi Mfaume alipotangazwa.
Shida Watz hatujui kuwa dunia inatizama na hii inatuathiri kwenye international games . Hata majaji wetu watabaki kuwa majaji wa hapo hapo ; hawawezi kupanda kimataifa, they are stupid and ignorant. Hawathamini kazi yao kwa vi laki 3 wanavopewa kama Hongo. Ni ujinga.
Tutaishia humu humu. Haiwezekani mtu ashinde obviously na usimtangaze kisa game imechezwa kwenu —— SHAME ! And the worst part ni kwamba tunajiharibia wenyewe kimichezo.
Na hiyo Simba safari yake ya mwisho iwe Benjamin Mkapa . Hatuwezi kushiriki michuano ya kimataifa. We are not serious.
Na Hii ndio sababu michezo ya Kitanzania haifiki mbali. Kwanza Mfaume Sio Professional and Strategic. Inaelekea amejifunza ngumi kwenye Viroba vya Mchanga na Matairi.

Yani watanzania tunazingua haiwezekan mtu kapigwa roundi zote halafu yeye anaibuka kuwa bingwa.Kama kawa wadau leo kutakuwa na mapambano nane wadau wakirushiana makonde pale kati, fuatilia hapa
Mapambano ya leo
Pambano la Twaha Kiduku linaweza kuahirishwa kwa sababu mpinzani wake ameshindwa kufika ndani ya muda, hadi muda huu bado yupo kwenye ndege anaweza kufika usiku sana
- Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi)
- Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga Tshitundu (Mkongo)
- Abdallah Pazi Vs Simon Tcheta (Malawi)
- Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi (Zimbabwe)
- Seleman kidunda vs Limbano Lano (Malawi)
- Ismail Galiatano Vs Israel Kamwamba
- Haidary Mchanjo Vs Loren Japhet
- Juma Choki Vs Issa Nampepeche
Pambano la Haidary Mchanjo halitakuwepo, mpinzani wake Loren Japhet ameingia mitini
Pambano la Kwanza
Juma Choki Vs Issa Nampepeche
Uzito: Light Weight
Rounds: 10
Winner: Juma Choki, TKO round ya tatu
Pambano la Pili
Ismail Galiatano(Tz) Vs Israel Kamwamba(Malawi)
Uzito: Super Middle Weight
Rounds: 08
Winner: Galiatano kwa Points
Pambano la tatu
Seleman Kidunda(Tz) vs Limbano Lano (Malawi)
Uzito: Middle Weight (Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati)
Rounds: 10
Winner: Seleman Kidunda kwa KO, Round ya pili
Pambano la nne
Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) Vs Simon Tcheta (Malawi)
Uzito: Super Middle weight
Rounds: 08
Winner: Dulla Mbabe(Abdallah Pazi) kwa KO, round ya kwanza
Pambano la tano
Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi (Zimbabwe)
Uzito: Super Bantamweight (Title) African Boxing Union (ABU)
Rounds: 12
Winner: Tonny Rashid kwa KO Round ya tatu
Pambano Kuu(La sita na la mwisho kwa leo)
Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi)
Uzito: Super Welterweight
Rounds: 10
Winner: Mfaume Mfaume
Na Hii ndio sababu michezo ya Kitanzania haifiki mbali. Kwanza Mfaume Sio Professional and Strategic. Inaelekea amejifunza ngumi kwenye Viroba vya Mchanga na Matairi.
Yule Mmalawi ameshinda na hata 90% ya sapota wa Mfaume walikuwa wameshaanza kuondoka wakijua Mshind ni nani.
Mmalawi ameshinda idara zote. He is tactical, Observer and Professional. Japo alijua yeye ndio Mshindi, lakini wala hajamaindi Mfaume alipotangazwa.
Shida Watz hatujui kuwa dunia inatizama na hii inatuathiri kwenye international games . Hata majaji wetu watabaki kuwa majaji wa hapo hapo ; hawawezi kupanda kimataifa, they are stupid and ignorant. Hawathamini kazi yao kwa vi laki 3 wanavopewa kama Hongo. Ni ujinga.
Tutaishia humu humu. Haiwezekani mtu ashinde obviously na usimtangaze kisa game imechezwa kwenu —— SHAME ! And the worst part ni kwamba tunajiharibia wenyewe kimichezo.
Na hiyo Simba safari yake ya mwisho iwe Benjamin Mkapa . Hatuwezi kushiriki michuano ya kimataifa. We are not serious.
Walevi huwa wanapigana na Twaha kiduku, this is according to Mwakinyo. Huyo aliedundwa na kidunda amedundwa kihalali.Huyu aliyepigwa na kidunda inawezekana ni mlevi Fulani tu.
Hahaaah galiatano alikua kama kipepeoMabondia wote wamecheza vizuri isopokuwa.
Mfaume na Galiatano.
Mgumi zao ni nyepesi sana, na sio za Professional Boxing.
Huyu Mfaume huwa anatamba sana na wapambe wake wanamsifia kuwa ndiye mwenye mgumi nzito zaidi katika uzito wake, hadi aliwahi kumpasua bondia mwenzake fuvu la kichwa.
Mfaume Huenda kalewa sifa, huku watangazaji waliendelea kumsifia eti amefanya mazoezi mengi mazito hadi anashindwa kurusha ngumi nzito, utadhani hana kocha.
Galiatano na Mfaume lazima wajifue zaidi kama unataka kuendelea na Boxing.
Galiatano alicheza round mbili tu kachoka hoi, anabaki anazunguka tu na kudokoa dokoa vi jab huku anakimbiakimbia ulingoni. Mpaka mpinzani wake anasimama na kumwuliza vipi huonekani. Mwisho akaamua ampigie saruti kabisa.