raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Tuzo nakubaligi sana VMAs 🔥🔥🔥Hizi tuzo za Grammy ni hovyo tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo nakubaligi sana VMAs 🔥🔥🔥Hizi tuzo za Grammy ni hovyo tuu
Mkuu ile single again ya harmonize, Ange tafuta PR team nzuri Basi Ange enda extra miles.Sema wasanii wa Tanzania wanazingua sana yani tumeshindwa kujikakamua tutoe hata msanii mmoja tu kwenye Nominees,
Sema siwezi kulaumu maana huku Tanzania msanii akishatoa ki Hit song kimoja basi anaridhika anaanza kufukuzana na matako ya mabinti sasa.
Mkuu Jana mpaka kina Drake want sema, hizi tuzo Ni uwaki tu
Chris's brown, Eminem, Drake, wote washa zimaindi hizi Grammy😆😂Tuzo nakubaligi sana VMAs 🔥🔥🔥
Billie Yuko vizuri mno, Grammy huwa Wana tafuta jinsi ya kuji tangaza tu.Hizi tuzo wengne huwa wanapewa kwa Mchongo tu,....ila nimefurahi Billie Eilish kabeba za kutosha,
huyu binti Hajawahi niangusha kama kuna upcoming artist wa Bongo anataka kujifunza namna ya kuteka Global music industry basi aangalie uimbaji wa huyu Binti. Billie Eilish ni Motooo
Mkuu ile single again ya harmonize, Ange tafuta PR team nzuri Basi Ange enda extra miles.
👉Kaishia kwenda kufanya collaboration na up coming Ruger.
Ww kwenye carrier yako umefikia wapi?Wasanii wa Bongo hawajui namna ya Kufanya marketing nafikiri na Elimu inachangia,
Ndomaan tunashauri ukijiona we msanii kichwani ni mweupe basi anagalau tafuta Manager ambaye ni kakuzidi umri na ana walau Degree ya sanaa au ya kitu chochote kile maana huyo uwezo wake wa kufikiri hautokuwa sawa na wako.
Hata huyu Diamond ataishia hapo hapo kama ataendelea kushikana na hao wakina Babu tale na mkubwa fella na Sallam, anahitaji aajiri Manager mwenye connection za kutosha na mwenye Profile iliyoshiba kwenye masuala ya kusimamia wasanii,
Mwenzake Wizkid alianza na Yule meneja wake mnaijeria nimesahau jina lake, ila alipoanza kutambulika zaidi akamuajiri yule Mwanadada aliyewahi kuwa meneja wa Chris brown.....na ndo alimsaidia jamaa mpka kuanza kupata Colabo na wakina Drake na wengineo na sasaivi ukimuweka Diamond na Wizkid ni Jua na Ardhi.
Ni uabaguzi tu; hawatueua wimbo huo mpaka ulipoimbwa na Mzungu. Tracy Chapman alikuwa mtunzi mzuri sana ingawa alamua kutoendelea na MuzikiNilifarijika tu kuona one of my favourite song ya Tracy chapman-fast car
Ova
Huo mziki aliuimba tokea 1988Ni uabaguzi tu; hawatueua wimbo huo mpaka ulipoimbwa na Mzungu. Tracy Chapman alikuwa mtunzi mzuri sana ingawa alamua kutoendelea na Muziki
Namuomba ndgu mwenyekiti apendekeze jina lingine 😂😂Wanachama Wana liaa, Huku Waki litaja jina lako katibu😂😆.
👉 dronedrake kaku teua uwe katibu wa banyeta
Killer mike naona katikisa watuBillie Yuko vizuri mno, Grammy huwa Wana tafuta jinsi ya kuji tangaza tu.
[emoji117]Una ita wasanii, Kisha una mpa tuzo lofa mmoja[emoji38]
We nawe Ume kurupuka🤒Burna boy atabeba zote hizo wengine watafuata
Neno la mwenyekiti ni amri😃🤣Namuomba ndgu mwenyekiti apendekeze jina lingine 😂😂
We nawe Ume kurupuka[emoji855]
Jomba ana week utabiri, tuzo zisha Isha😀😂[emoji16][emoji16]