Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatumia ngeli ya 'ka' wakati ana hela kuliko weweKame shinda aisee😆😆
Ni ka new cat, so hela zake Zina nihusu nini??unatumia ngeli ya 'ka' wakati ana hela kuliko wewe
Sema hizi tuzo wasanii wakubwa huwa Wana zigomea.Nimefurahi kumuona Tracy Chapman ana perform after all these years.
Trevor is killing it hosting.
Mimi nilijua tu tyla anasepa na tuzo. Na usimuite mwepesi, probability ya kuwa the next Rihanna ni kubwa sana maana ana average vocals na sexual appeal kama young riri mkuuTayla mwepesi mnoo, Bora hata ayra star.
Nyimbo yake ya rush iko na message fulani
Taylor Swift kazoa ya album bora ya mwaka.Hapo Tayla lazima akimbize, akina Zuchu huku kwetu wanaishia kutuimbia chapati na ujinga mwingine.
Hapo Taylor Swift anaenda kujiongezea tena tuzo kabatini, Miley Cyrus ngoma yake ya Flowers na album ya Endless vacation haitamuangusha, Dua lipa,SZA,Olivia na Nicki lazima waondoke na tuzo!
Eeh kaweka rekodi, mara ya nne hii anachukua tuzo ya album bora ya mwaka!Taylor Swift kazoa ya album bora ya mwaka.
Yaan huyu kila Grammys hawezi kosa tuzo, lazima achukue.Eeh kaweka rekodi, mara ya nne hii anachukua tuzo ya album bora ya mwaka!
Mimi davido kukosa tuzo, ime niuma Sana aisee.Mimi nilijua tu tyla anasepa na tuzo. Na usimuite mwepesi, probability ya kuwa the next Rihanna ni kubwa sana maana ana average vocals na sexual appeal kama young riri mkuu
Hiyoo category hata Mimi Nili hisi hivyoo, Ila ya best album wame feli Sana.Mimi nilijua tu tyla anasepa na tuzo. Na usimuite mwepesi, probability ya kuwa the next Rihanna ni kubwa sana maana ana average vocals na sexual appeal kama young riri mkuu
Mwaka huu Jay Z na Drake wameona waropoke maana wamechoka kuona black artists wakidhulumiwaHiyoo category hata Mimi Nili hisi hivyoo, Ila ya best album wame feli Sana.
👉Uliona speech ya Drake, tuzo hizo za kiwaki mnoo
Kuna kipindi kile da baby ana classic song ya rockstar.Mwaka huu Jay Z na Drake wameona waropoke maana wamechoka kuona black artists wakidhulumiwa
Taylor Swift ameshachukua japo naujua wimbo wake mmoja tu 😁😁 Of course ni yule white girl ambaye amewekwa mbele ya industry so, chochote anachofanya kitakuwa awarded
Nicki mwenyewe hana grammy ila Cardi ana hadi best Rap album 😁😁Kuna kipindi kile da baby ana classic song ya rockstar.
👉Rody rich ana the box
Afu ana kuja kupewa mega stallion kisa tu ana urafiki na Beyonce🤣😄
Kumbe hata konde Ange fanya pr za kutosba na uchawa mbelee.Nicki mwenyewe hana grammy ila Cardi ana hadi best Rap album 😁😁