Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

Hapo Tayla lazima akimbize, akina Zuchu huku kwetu wanaishia kutuimbia chapati na ujinga mwingine.

Hapo Taylor Swift anaenda kujiongezea tena tuzo kabatini, Miley Cyrus ngoma yake ya Flowers na album ya Endless vacation haitamuangusha, Dua lipa,SZA,Olivia na Nicki lazima waondoke na tuzo!
Tayla mwepesi mnoo, Bora hata ayra star.
Nyimbo yake ya rush iko na message fulani
 
Sisi tunaishi ndoto ya kuwa wa Nigeria, Wa Nigeria wanaishi ndoto ya kuwa Wamarekani.

Nimemuona star wao mmoja kavaa headband ya "Thug Life". 🤣🤣🤣
Mi Wana nifurahisha ile hustle spirit, wako tayari kuweka juhudi ili tu waonekane mbele.

Sisi uki julikana kidogo, ni kutafuta kina mwajuma uwavue sketi🤣🤣
 
olorade mi asake ajaja bado mkuu
Kwa ambao Hawa angalii kwenye DStv, Kuna channel yao you tube.
FB_IMG_17070806562889131_1.jpg
 
Nasikia genre ya Soukos Ile ya kanda bongoman waanzilishi ni wabongo Ila ilichotwa ikapelekwa Congo, Sisi hapa tuna vigoma vinaitwa Kibao Kata vile vinapigwa kwenye Magari wale wadada wanachezesha makalio kwenye Coaster Ila Sisi ubaya hatupendi vya kwetu, Singeli imepigwa Vita weee mpaka siku hio nikashangaa kwenye redio kuna Mhindi mmoja anasema Muziki wa Bongo ambao haupo popote ni huu wa Singeli kibao kata midundo yake IPO hapa hapa TU maana Ile midundo ya kibao Kata ni mchanganyo wa madufu fulani na vigoma amazing sasa ikibuniwa midundo yetu mboni hao jamaa tinawaondoa kwenye reli kabisa, issue iliyopo ni waandaaji Muziki kubuni midundo ambayo ni unique kwetu tu

Content creativity matters,
We unafikiri kwa nini Remmy Ongala katika wimbo wake "Kifo" kamfagilia sana Mbaraka Mwinshehe? Remmy anakwambia hata Ujerumani walipiga rekodi za Mbaraka Mwinshehe. Hata Kinshasa Zaire Franco Tabu Ley wanamjua Mbaraka Mwinshehe. Wacongo wameanza kutufuatlia kitambo.

Hizo singeli alipigiwa Alicia Keys studio mwebyewe akakubali midundo yake mpaka kuzi post.

Ujue Bongo tulikuwa tukitumia chupa za whisky kuwekea maji ya kunywa tukasema ni umasikini, lakini akifanya hivyo mzungu tutasema huyu ni mwanamazingira anafanya recycling.

Kitu kizuri tukifanya wenyewe hatukitambui, mpaka kifanywe na mtu wa nje ndiyo tunakitambua.

Muone Alicia Keys anajimwayamwaya na "Wanga Wabaya" hapo.


View: https://youtu.be/q2ANyOTkT4o?si=eh_JZ0kd_gaagE6u
 
Hapo Tayla lazima akimbize, akina Zuchu huku kwetu wanaishia kutuimbia chapati na ujinga mwingine.

Hapo Taylor Swift anaenda kujiongezea tena tuzo kabatini, Miley Cyrus ngoma yake ya Flowers na album ya Endless vacation haitamuangusha, Dua lipa,SZA,Olivia na Nicki lazima waondoke na tuzo!
Kame shinda
FB_IMG_17070864055048940.jpg
 
Back
Top Bottom