Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

Hapo Tayla lazima akimbize, akina Zuchu huku kwetu wanaishia kutuimbia chapati na ujinga mwingine.

Hapo Taylor Swift anaenda kujiongezea tena tuzo kabatini, Miley Cyrus ngoma yake ya Flowers na album ya Endless vacation haitamuangusha, Dua lipa,SZA,Olivia na Nicki lazima waondoke na tuzo!
 
Nyimbo za bongo aibu hata kuwapa tuzo
Mara utasikia Ilambe iteleze kama nyoka pangoni, mara utasikia ikalie izame ndani, mara utasikia kinautelezi, mara mtoto kangaroo tako ndembe ndembe... duh na mengine nimeshindwa kuandika hii nchi inatishaaaaaaaa
 
Zetu sometimes Zina kosa ujumbe, halafu hata uki compare music production ni majanga tu
 
Back
Top Bottom