Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

Live wewe hujaona Show zetu za live hakuna Playback hujaona Sauti za Busara watu wanapiga performance live na vyombo au hujaona Ile Show ya ShoroMwamba anawaokotesha nyasi wazungu kule ujeruman hio pia utasema hujaona?
Kibongo bongo live performance labda kina, harmonize ana Jitahidi, barnaba, ruby.
👉Haya hapo Kenya tu sauti Sol Wana tukimbiza😆🤣
 
Mbona Mondi hujamtaja hapo unataka kusema ana Show mbovu? We jamaa wa wapi yaan unamtaja mpaka Hormonize Ila Mondi humtaji kwani hujaona Show zake?
 
Nyani Ngabu na Kiranga kwenye upande wa tasniaabya mziki.

Je show zetu tuna weza shindana na wa naigeria, au ndo tuna sogeza mda mbele??
Muziki, burudani, michezo ni function ya uchumi.

Tengeneza uchumi, huko kwingine kutakaa vizuri tu.

Wa Nigeria wana network kubwa, connections nyingi, uchumi mkubwa, exposure zaidi, hustle culture zaidi, lakini kwenye talent hawajatuzidi hivyo.

Tatizo na sisi hata baada ya ku punch above our weight sasa hivi tunageza sana Wa Nigeria.

Huwezi kushindana na mtu aliyeanzisha kitu halafu weee ukawa unamgeza.

Atakushinda hata kwa uzoefu zaidi na authenticity tu.
 
Asante mkuu, kuhusu connection na uchumi wako vizuri mno.

Msanii ana andaliwa mapema, Nyimbo Zina chaguliwa mapema.
Best producer na director wana tafutwa.

Sisi tuna unga unga mno, consistency Hakuna kabisa.
Mtu ana perform vizuri Mwaka huu, una fata ana haribu au kufanya kwa mazoea.

Natumai stow away Ume elewa
 
Ukishaona star wetu anajiita Dangote, wakati wao wana Dangote wa ukweli, ujue tuna tatizo kubwa mpaka hapo.
 
Muziki, burudani, michezo ni function ya uchumi.

Tengeneza uchumi, huko kwingine kutakaa vizuri tu.

Wa Nigeria wana network kubwa, connections nyingi, uchumi mkubwa, exposure zaidi, hustle culture zaidi, lakini kwenye talent hawajatuzidi hivyo.

Tatizo na sisi hata baada ya ku punch above our weight sasa hivi tunageza sana Wa Nigeria.

Huwezi kushindana na mtu aliyeanzisha kitu halafu weee ukawa unamgeza.

Atakushinda hata kwa uzoefu zaidi na authenticity tu.
Nasikia genre ya Soukos Ile ya kanda bongoman waanzilishi ni wabongo Ila ilichotwa ikapelekwa Congo, Sisi hapa tuna vigoma vinaitwa Kibao Kata vile vinapigwa kwenye Magari wale wadada wanachezesha makalio kwenye Coaster Ila Sisi ubaya hatupendi vya kwetu, Singeli imepigwa Vita weee mpaka siku hio nikashangaa kwenye redio kuna Mhindi mmoja anasema Muziki wa Bongo ambao haupo popote ni huu wa Singeli kibao kata midundo yake IPO hapa hapa TU maana Ile midundo ya kibao Kata ni mchanganyo wa madufu fulani na vigoma amazing sasa ikibuniwa midundo yetu mboni hao jamaa tinawaondoa kwenye reli kabisa, issue iliyopo ni waandaaji Muziki kubuni midundo ambayo ni unique kwetu tu

Content creativity matters,
 
Back
Top Bottom