Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari.
Nilifika kazini saa mbili usiku, niliambiwa Emergency Unit Kuna uhaba wa staff uko tayari kwenda? Nilikubali kwenda. Kufikia kule nilimkuta mama wa miaka 55 yuko kwenye litre 15 za oxygen lakini bado anapumua kwa shida na sats ziko 82%.
Alipewa frusemide infusion ili akikojoa kidneys zi compasate acidic levels za damu, na 1 litre ya soduim cloride infusion kwa masaa 8 akawekewa catheter ili kuepuka Usumbufu pia tujue kiwango cha mkojo anaotoa. Alikua pia kwenye IV antibiotics
ABG ilionyesha yuko hypoxia. Aliwekewa CiPAB mchine isaidie kutoa CO2 kwenye damu.
Mwisho alikuwa kwenye 30 minutes monitor. Hakuna mabadiliko. Asubuhi alihamishiwa kwenye hospitali kubwa zaidi pale walisema hawana vifaa vya ku deal na ugonjwa wake. Wote tukiamini ni Pneumonia kali sana.
Katikati ya wiki kupigiwa simu kuwa hospitali kubwa wamegundua ni Corona Virus na ninatakiwa kuwa kwenye isolation kwa siku 14.
Mgonjwa alikuwa side room yenye choo chake. Kuna sink ya kunawa mikono. Kwakuwa walihisi ni swine flu nje walituwekea meza ina aprons, gloves, masks na pedal bin pembeni pia kulikuwa na chupa ya sanitizer juu ya meza.
Hospitali zinahitaji oxygen ya kutosha huu ugonjwa unashambulia mapafu.
Ninamaliza isolation yangu J5 niendelee na maisha yangu kama kawaida. Lakini Corona imefanya nimekosa pay last week kwakuwa ni freelance.