Hakuna hata wa kuniambia baby umekula nin au nakutakia usiku mwema, kuwa single ni matesoNi usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo kadhaa kabla hujatoka. Preserve your precious sperms! Mkumbuke mwenzi wako na umtakie usiku mwema. Kama huna kabisa na wewe ni binti, kumbuka unapendwa sana na huyu invicible anaesoma ujumbe huu sasa na siku moja atakuwa nawe. Goodnight guys!
Usijali, lala salama. Usiusumbue moyo. You were not created alone. Your better half will soon appear before your eyes. You are so beautiful and lovely. Endelea kujitunza. Make your staffs expensive. Usiku mwema.Hakuna hata wa kuniambia baby umekula nin au nakutakia usiku mwema kua single ni mateso
Thanks mkuuUsijali, lala salama. Usiusumbue moyo. You were not created alone. Your better half will soon appear before your eyes. You are so beautiful and lovely. Endelea kujitunza. Make your staffs expensive. Usiku mwema.
Usiku mwema mkuu: DeepPondUmeandika kwa hisia sana
Kwa hiyo jimbo liko wazi?Hakuna hata wa kuniambia baby umekula nin au nakutakia usiku mwema kua single ni mateso
Nadhani kaweka bayana. Mipango tu ikae vizuri😎Kwa hiyo jimbo liko wazi?
[emoji1787]Kwa hiyo jimbo liko wazi?