Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

Hivi wewe senene unawajua? Au umejiandikia tu!!!?????
 
Kaka umewahi kuwaona hao senene purukushani zake wakiwa wanategwa kwenye yale mabasi ukaona ulivyo mtiti ,changanya macho kuvimba ?

Utajiri naupenda ila kufuga senene hapana itakuwa process isiyo na hatima
 
Hadi leo hakuna utafiti umekuja na majibu sahihi juu ya ni wapi senene hutokea pindi msimu wake ukianza na ni wapi senene huishia pindi msimu wake ikiisha. . Hongera sana mwamba umekuja na wazo kali sana.. Lakini sina uhakika km linatekelezeka maana najua hata wewe mwenyewe huwezi na km vip hujawahi hata kuona panapo zalishwa senene.
 
True
 
Charles Shauri,wewe ni rollmodel wangu,ni mtu niliyekujua kwamba huwa hukati tamaa na kitu.Kwenye hili la kufuga senene,nasubiri kauli yako ya dhati.Kwamba linawezekana.Kama ni kweli nianze kulifanyia utafiti na ikiwezekana nilifanye.Toa kauli mkuu
Mkuu hawa Senene ni Dili ingawa sasa kwenye kuwafuga nahisi kuna mazingira lazima uyatengeneze yafanane na ya msituni.

Ila all in all Senene ni Biashara na unaweza saga unga wake ujawa unachanganywa kwenye hata unga wa uji, Ugari, unga wa ngano kwa ajili ya vitafunwa na kadhalika.

Senene na Kumbikumbi kuna Pesa hasa kama utajikita kuwa pricess.

Kule Kagera Wahaya hakuna anaye waza kuwachakata haswa wawe mfumo wa unga ambapo wanaweza changanywa kwenye uji Lishe, ama hata unga wa ugari.
 
Kuna tasisi moja Kenya nahisi nisha soma andiko lao walisha fanya utafit wake kwa kule Kagera na Uganda pia.

na inavyo semekana huwa kabla ya kuruka hutaga mayai kabisa na kuyaacha chini hasa msituni huko wanako tokea.

Ni kama nzige walivyo, Ujue nzige wakiruka huwa tiyali wameisha taga na mayai na kuyaacha mapangoni kwa sababu hujua fika hawatarudi tena mapangoni na watakufa.

Senene nao ni hivyo hivyo hutaga mayai kabla hawajaruka na yale mayai huja kuanguliwa kwenye kipindi cha mvua ambako kuna levo ya Moisture inayo fanya yale mayai ya hatch.Na yakisha hatch kabla hawajaanza ruka kutoka msituni na kufuata mwanga wa taa hutaga mayai.
 
Ili uwazalishe unatengeneza mazingira sawa na ya kule wanako toka, ni ishu inawezekana.

Hata hawa kumbikumbi wanatengenezewa mazingira wanaruka wakati wa kiangazi
 
Swadakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…