Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

Mkuu inawezekana hukumuelewa vizuri wakili. Hakumaanisha kuwa nyaraka haitapokelewa, alichomaanisha ni uzito wa hiyo nyaraka katika kesi, itakuwa imepokelewa lakini bila kuwa na uzito wa kumuweka hatiani mtuhumiwa tofauti na ingekuwa na saini yake. Hicho ndio msingi wa uzi. Msisitizo, amesema ikiwa unaona umebambikiwa vitu halisia au karatasi limeandikwa vitu visivyopo kihalisia
Uzito wake ni hao independent witnesses wanaothibitisha kwamba jamaa alikamatwa navyo walishuhudia hata kama alikataa kusaini. uzito gani unaoujua kwenye certificate of seizure unaotakiwa mwingine? wewe naoona ndio hujaelewa.
 
Back
Top Bottom