sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Kuwa na mrarafiki wa jinsia tofauti au mpenzi wako anapokua na marafiki wa jinsia tofauti ni suala zito sana mnapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Unakuta mpenzi wako kila muda anatumia kisingizio " ni bestfriends wangu wala usiwaze" kila kinapotokea chchote nje ya ukawaida wa u best friend mfano kukumbataiana, kupigiana simu au kuchat mda mrefu, n.k.
Ukiona haya mambo kaa na mpenzi wako, mwambie wawe na mipaka kama hawezi aende kwake.
Hawa marafiki mara nyingi hisia za mapenzi hua zinakua zimeanza kutokota ila wanavuta mda, ikitokea tu chance kitu imooo, Wanatupia ndoano haraka sana, sana sana mnapokua mmegombana na mpenzi wako.
Na haya mambo kama kukumbatian, kuchat au kuongea mda mrefu huwa wanafanya hivi kwa mpenzi wako kwa lengo la kukutia wivu muachane