othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume ni sawa na kutembea na muwa jangwani Kama fimbo utaula tu kiu ikibana
Weak manSiezi muhangaikia mwanamke aishi anavyoona ni sahihi
Mbona na Wewe usibadilishe yakwako?Cha kuongezea hapo kama unaishi nae abadilishe no ya simu aanze upya[emoji28][emoji28]
Mbona na Wewe usibadilishe yakwako?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ninaamini mtu hutoa ushauri kutokana na experience aliyokuwa nayo.
Niseme tu mkuu pole sana kwa kugongewa naona ukishausahau ule usemi wa hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume .
Au nasema uongo mods [emoji53]?
Duh!!!Mwanamke ni kama bahari
Ukilinda kigambon watu wanavua Bagamoyo..
Park at your own risks
sahihi kabisaWeak man
Wanaume wababe Sana ....Usitake league na mwanamme
Wanaume wababe Sana ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] for sureMwanamke ni kama mlango lazima ugongewe tu.
Nakubaliana na ww [emoji817] [emoji109] ...Kwa mwanamke nnayempenda na nna male go naye adse ntakua very active kwakeSiwezi kuuruhusu hayo yatokee kwa mwanamke ninaye mpenda na ambaye Nina malengo nae
hayo mambo hayana formula, huwez mlinda mwanadamu Kama ni muhuni.atagongwa tu hata na rafiki yako aliyekuja kukusalimia kwako siku hiyo hiyo baada ya ww kuwaacha kidogo baada ya kupata emergency.Kuwa na mrarafiki wa jinsia tofauti au mpenzi wako anapokua na marafiki wa jinsia tofauti ni suala zito sana mnapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Unakuta mpenzi wako kila muda anatumia kisingizio " ni bestfriends wangu wala usiwaze" kila kinapotokea chchote nje ya ukawaida wa u best friend mfano kukumbataiana, kupigiana simu au kuchat mda mrefu, n.k.
Ukiona haya mambo kaa na mpenzi wako, mwambie wawe na mipaka kama hawezi aende kwake.
Hawa marafiki mara nyingi hisia za mapenzi hua zinakua zimeanza kutokota ila wanavuta mda, ikitokea tu chance kitu imooo, Wanatupia ndoano haraka sana, sana sana mnapokua mmegombana na mpenzi wako.
Na haya mambo kama kukumbatian, kuchat au kuongea mda mrefu huwa wanafanya hivi kwa mpenzi wako kwa lengo la kukutia wivu muachane