Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

Joined
Dec 18, 2023
Posts
15
Reaction score
31
listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle.

Mimi niko The Bronx, NY, mtaa wa magangsters, mtaa wa real life hustle, na yes Roma Mkatoliki huwa anapita huku. Nimekutana nae mara kadhaa, ni chill dude, hana kiki, hana showoff. Ukimwona unaweza dhani ni ordinary dude anapita zake, hustle ya maisha. Huku hakuna kamera za wasafi TV – hapa ni bills, ni rent, ni work, ni grind.

Na mara nyingi tumepishana nae kule Harlem, mtaa wa real goons, mtaa wa dark deals – huku ukiingia bila kufahamu game unaweza kupotea. Huko kuna some Tanzanians hustling, lakini pia kuna mabadiliko mabaya – trap life, drugs, sex trade, magroup ya kijeuri, ni survival zone.

Wabongo wengi walikuja na ndoto lakini sasa wamelala kwenye maghorofa ya watu, wengine wanaishi basement ya mshikaji, wanalipa $1200 for a tiny ass room with no f*cking window, bado hana job legit, hana papers, na akili imemchoka. Huyu mtu ukimwambia arudi Bongo atakutukana – siyo kwa sababu maisha ni mazuri hapa, ni kwa sababu hana fare ya kurudi home!

Now let’s talk real sht – wengine wameishia kuwa gay for papers, wameolewa na mizee ya kizungu eti “maisha bora.” FCK THAT BULLSHT! Hiyo siyo life, hiyo ni kuchoka na kujitoa heshima. Real G never sell his soul for fcking documents!

America ni land of opportunity ONLY kama una plan, una ramani, una akili ya mtaa na moyo wa simba. Ukiingia na game, ukiingia na skills, ukiingia na plug wa kazi au shule, life inaweza kubadilika haraka sana. Utapiga job, utajifunza tech, unaweza kuinvest crypto, unaweza kufungua business ya online shipping au huduma, unaweza kutuma doo Bongo kila mwezi – all legit!

But kama unaingia tu kujificha, au unaota utamatch na sugar mama utatoka – bro, utachezwa kama tambala! Hii game ni ya wenye plan. Kama una game, America itakupa wings. Kama huna – itakumeza kama mdomo wa shark.

Wengine tunaweza ku-survive sababu bado tunapigwa backup na wazazi – they pay some bills. Lakini real G anajitegemea, anasimama mwenyewe, anajenga brand, anapiga hustle. Kama unakuja huku, kuja ready, kuja na papers, kuja na address, kuja na real connection.

Otherwise, utaingia kwenye system ya kipumbavu, utaishi kwa hofu, utaishia kuuza personality yako, na mwisho wa siku utakuwa shadow ya kile ulichotaka kuwa.

So real talk – OYA, kama unakuja huku, kuja na mpango. Kama huwezi kuhandle pressure ya life huku – better stay Bongo, fungua kibanda cha biashara, hustle legit kuliko kuja huku ukijidhalilisha.

GAME IS GAME. Huku ni Marekani – siyo sinema. Fck that fake flexing life, fck wishful thinking. Kama hujaandaa, don’t f*cking come!
 
Wewe mtoto wa mama Rudi bongo marekani hukuwezi,,,watoto wa mama mboga Saba wote warudi patupu akina lemutuz na wengine wengi lakn watoto wa masikini wengi wametoboa Kuna akina dada wa huku kijijini sitimbi wako wawili na wote wanaishi marekani Kwa sasa wameshusha ghorofa la zaidi ya m300 huku kijijini na wana miradi mingi tu.
 
Kazi za usafi usafi na kulisha wazee siwez pata?? 😄😀
Niko vizur kwenye kuwash dishes ☺️
 
Watoto wengi wakishua mboga saba ndio wanashindwa kutoboa ughaibuni, ila watoto wengi wa uswazi huwa wanatoboa tu.
 
listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle.

Mimi niko The Bronx, NY, mtaa wa magangsters, mtaa wa real life hustle, na yes Roma Mkatoliki huwa anapita huku. Nimekutana nae mara kadhaa, ni chill dude, hana kiki, hana showoff. Ukimwona unaweza dhani ni ordinary dude anapita zake, hustle ya maisha. Huku hakuna kamera za wasafi TV – hapa ni bills, ni rent, ni work, ni grind.

Na mara nyingi tumepishana nae kule Harlem, mtaa wa real goons, mtaa wa dark deals – huku ukiingia bila kufahamu game unaweza kupotea. Huko kuna some Tanzanians hustling, lakini pia kuna mabadiliko mabaya – trap life, drugs, sex trade, magroup ya kijeuri, ni survival zone.

Wabongo wengi walikuja na ndoto lakini sasa wamelala kwenye maghorofa ya watu, wengine wanaishi basement ya mshikaji, wanalipa $1200 for a tiny ass room with no f*cking window, bado hana job legit, hana papers, na akili imemchoka. Huyu mtu ukimwambia arudi Bongo atakutukana – siyo kwa sababu maisha ni mazuri hapa, ni kwa sababu hana fare ya kurudi home!

Now let’s talk real sht – wengine wameishia kuwa gay for papers, wameolewa na mizee ya kizungu eti “maisha bora.” FCK THAT BULLSHT! Hiyo siyo life, hiyo ni kuchoka na kujitoa heshima. Real G never sell his soul for fcking documents!

America ni land of opportunity ONLY kama una plan, una ramani, una akili ya mtaa na moyo wa simba. Ukiingia na game, ukiingia na skills, ukiingia na plug wa kazi au shule, life inaweza kubadilika haraka sana. Utapiga job, utajifunza tech, unaweza kuinvest crypto, unaweza kufungua business ya online shipping au huduma, unaweza kutuma doo Bongo kila mwezi – all legit!

But kama unaingia tu kujificha, au unaota utamatch na sugar mama utatoka – bro, utachezwa kama tambala! Hii game ni ya wenye plan. Kama una game, America itakupa wings. Kama huna – itakumeza kama mdomo wa shark.

Wengine tunaweza ku-survive sababu bado tunapigwa backup na wazazi – they pay some bills. Lakini real G anajitegemea, anasimama mwenyewe, anajenga brand, anapiga hustle. Kama unakuja huku, kuja ready, kuja na papers, kuja na address, kuja na real connection.

Otherwise, utaingia kwenye system ya kipumbavu, utaishi kwa hofu, utaishia kuuza personality yako, na mwisho wa siku utakuwa shadow ya kile ulichotaka kuwa.

So real talk – OYA, kama unakuja huku, kuja na mpango. Kama huwezi kuhandle pressure ya life huku – better stay Bongo, fungua kibanda cha biashara, hustle legit kuliko kuja huku ukijidhalilisha.

GAME IS GAME. Huku ni Marekani – siyo sinema. Fck that fake flexing life, fck wishful thinking. Kama hujaandaa, don’t f*cking come!
We mjinga Sana
 
Back
Top Bottom