Usikute fedha nyingi zinazoitwa za msaada ni zile zinazoenda kwa wanaharakati!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Tunaweza kuwa tunapewa sifa ya kuwa nchi tegemezi ya uhisani kumbe kwa kiasi kikubwa fedha hizo za uhisani zinaenda kwa NGOs za wapigaji wachache zinazofanya kazi zisizo na tija ya maendeleo endelevu.

Serikali ya Magufuli inataka mikopo itakayokuja kuinua maendeleo vijijini haswa.

Nashauri Mawaziri husika wafanye tathmini ya fedha za uhisani...maana unaweza kukuta tunafadhiliwa pedi kwa miaka 10 halafu baada ya hapo tunalazimishwa kununua.
 
Taifa la wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana huwa huoni hata matundu ya vyoo ni kwa hisani ya watu wa marekani?
 
Back
Top Bottom