Taifa la wajingaTunaweza kuwa tunapewa sifa ya kuwa nchi tegemezi ya uhisani kumbe kwa kiasi kikubwa fedha hizo za uhisani zinaenda kwa NGOs za wapigaji wachache zinazofanya kazi zisizo na tija ya maendeleo endelevu.
Serikali ya Magufuli inataka mikopo itakayokuja kuinua maendeleo vijijini haswa.
Nashauri Mawaziri husika wafanye tathmini ya fedha za uhisani...maana unaweza kukuta tunafadhiliwa pedi kwa miaka 10 halafu baada ya hapo tunalazimishwa kununua.
Zingine zinapelekwa kwa Musiba awachafue na kuwatisha maadui wa mzee.