Usilale kioo cha delressing table unajiona

HII NI AFRIKA TU,ILA ULAYA AU DUNIA YA WATU WENYE AKILI TIMAMU HUKUTI HUU UPUMBAVU.

MIMI NALALA NA KIOO,NA HAKUNA LINALONIPATA.
 
"Bloody Mary" story za kindergarten hizi 🀣🀣🀣
 
 
Kioo chochote kinatakiwa kielekee kwenye Vito cha thamani. Kwa mfano kama ni dressing pale kwenye mikufu na Vito vya thamani...
 
ULikuwa na madeni. Ukiwa na madeni unaishia kupata hisia na masumbuko mengi hadi kudhani unarogwa.
 
Kuna sehem nimesoma wadau wanasema kioo ni sawa na Cctv camera inachukua matukio yote ya ndani kwako uliokuwa unafanya, mipango yako n.k sasa wachawi wakija cha kwanza wanaangalia kwenye kikoo mipango yako yote na kila kitu kwhy inawapa wao kazi rahisi sana kukururga na kuharibu mipango yako kwa kuwawanakuwa washajua kila kitu
 
Unataka kumaanisha kama kabati lake la nguo lipo chumbani jamaa bado ana safari ndefu..?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mstaafu,na pensheni haijatoka kumwezesha kupanga nyumba nzima.
 
Hapo utasingizia wachawi yaani Siku tukiacha kuamini ushirikina ndio siku TZ itakua kama China .... Hulali Masaa ya kutosha unasingizia Kioo...Unatumia Simu sana..Mwanga una Mionzi unachosha macho/ akili unasingizia Kioo....Chumba kidogo joto kama Lote unaamini unakabwa na wachawi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…