Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Ya kiooYa rangi au tangawiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kiooYa rangi au tangawiz
HII NI AFRIKA TU,ILA ULAYA AU DUNIA YA WATU WENYE AKILI TIMAMU HUKUTI HUU UPUMBAVU.Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.

Hiyo myth ya kuangalia kioo usiku unatokewa na mzimu, imeanzia hukoHII NI AFRIKA TU,ILA ULAYA AU DUNIA YA WATU WENYE AKILI TIMAMU HUKUTI HUU UPUMBAVU.
MIMI NALALA NA KIOO,NA HAKUNA LINALONIPATA.
MBONA HAWAFANYI LEO?Hiyo myth ya kuangalia kioo usiku unatokewa na mzimu, imeanzia huko
ULikuwa na madeni. Ukiwa na madeni unaishia kupata hisia na masumbuko mengi hadi kudhani unarogwa.Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
Mkuu jikite kwenye mada inahusu kioo cha kabati sio ganja wala bob!Mkiambiwa bangi sio kitu kizuri mnajifanya nyie ndio Bob Marley, haya ndio kwanza mwaka unaanza
Unataka kumaanisha kama kabati lake la nguo lipo chumbani jamaa bado ana safari ndefu..?😃😃Kwanza kwanini kabati la kuvalia nguo aweke chumbani? Ama analala dressing room?
Inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mstaafu,na pensheni haijatoka kumwezesha kupanga nyumba nzima.Unataka kumaanisha kama kabati lake la nguo lipo chumbani jamaa bado ana safari ndefu..?😃😃
Kioo ni shida kubwa usibishe bila kifatiliaMkuu, labda kuna shida nyingine ila kioo hakijawahi kua tatizo.
Tupeni ushahidi nyie mliofuatilia.Kioo ni shida kubwa usibishe bila kifatilia