Usilale kioo cha delressing table unajiona

Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
HII NI AFRIKA TU,ILA ULAYA AU DUNIA YA WATU WENYE AKILI TIMAMU HUKUTI HUU UPUMBAVU.

MIMI NALALA NA KIOO,NA HAKUNA LINALONIPATA.
 
Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
 
Kioo chochote kinatakiwa kielekee kwenye Vito cha thamani. Kwa mfano kama ni dressing pale kwenye mikufu na Vito vya thamani...
 
Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
ULikuwa na madeni. Ukiwa na madeni unaishia kupata hisia na masumbuko mengi hadi kudhani unarogwa.
 
Kuna sehem nimesoma wadau wanasema kioo ni sawa na Cctv camera inachukua matukio yote ya ndani kwako uliokuwa unafanya, mipango yako n.k sasa wachawi wakija cha kwanza wanaangalia kwenye kikoo mipango yako yote na kila kitu kwhy inawapa wao kazi rahisi sana kukururga na kuharibu mipango yako kwa kuwawanakuwa washajua kila kitu
 
Unataka kumaanisha kama kabati lake la nguo lipo chumbani jamaa bado ana safari ndefu..?😃😃
Inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mstaafu,na pensheni haijatoka kumwezesha kupanga nyumba nzima.
 
Hapo utasingizia wachawi yaani Siku tukiacha kuamini ushirikina ndio siku TZ itakua kama China .... Hulali Masaa ya kutosha unasingizia Kioo...Unatumia Simu sana..Mwanga una Mionzi unachosha macho/ akili unasingizia Kioo....Chumba kidogo joto kama Lote unaamini unakabwa na wachawi...
 
Back
Top Bottom