Usilale kioo cha delressing table unajiona

Sasa wewe si ni jini jamani unaogopa nini kulala na Kioo?
 
Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
Hiyo yote ni kiwewe cha kuweza nunua dressing table. Utasema mengi sana mwaka huu. Baadaye utaanza sema umegundua pia kioo kinaweza kukusemesha au ukacheza nacho segere au draft.
 
Kumbe Kioo ndio majanga, basi ndio maana kila nikichakata ule uchakataji, nagusa moja nikijitahidi sana ya pili, baada ya hapo chali, nahisi hiki kioo kilichopo magetoni kinanimaliza nguvu

Haya sasa naenda kukitoa halafu naliamsha dude nione mziki wake🤣
Umechelewa sana kugundua Hilo,mabaharia hatukai na kioo geto
 
Kwa kweli naona nimechelewa, na Unadhani hata lilikuwa lengo, ni hivi tu kwenye pilika za kununua kabati kwa ajili ya upangaji wa mavazi basi chaguo likaja na kioo fulani ndani yake na ndio hiki nachozungumzia
 
Hivi vitu mimi nilikuwa siviamini ila recently baada ya kianza kuvipractice nimeviamini, ofcourse sio uchawi ila vipo.
1. Kioo kama nlivokisema
². Kyogea chumvi
Hii imeniletea vitu vingi sana vya faida maishani mwangu na ni vya kudumu
3. Kuna vingine naogopa kuvifanya sababu vina matokeo makubwa either ya kuumiza mtu
 
Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo
Hizo ni hekaya za abunuasi mkuu,,
Ila ukweli ni kwamba usilale ikiwa kichwa chako umekielekeza mlangoni.
Mbaya sn AISEE.
Kila ninapolala kichwa kinaelekea mlangoni naweweaeka na kuota ndoto za kutisha sn.
 
Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua mlango wenye kioo unalalia kwenye mlango mwingine nabana na begi ili usirudi, nashangaa hii hali imeisha nalala vizuri naamka sina uchovu wowote, na tangu nimeweka hiki kioo

Wewe jini kweli
 
Back
Top Bottom