SAHIHI MIA MIATatizo naona ni muundo wa hii app mpya ya JF, imefanya mambo yawe karibu zaidi.
Hizi "trends" zinazokuwepo zinamfanya mtumiaji aone hata nyuzi asizo na interest nazo.
Ni tofauti na ile app iliyopita ambapo nyuzi zilikuwa zinapatikana kwenye majukwaa husika, so kama wewe sio mpenzi wa chit-chat unakuwa huwezi kuona nyuzi zao.
Mimi naamini utoto ulikuwepo hata wakati ule, sema utoto ule ulifichwa kwasababu ya muundo wa app iliyokuwepo.
Kitoto Cha 2005 kina fokea wazee ๐๐๐Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko.
Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini?
Facebook ya 2005 sio ya sasa
Mziki wa bongo flava wa 2000 sio wa sasa
Dunia ya 1990 sio dunia ya sasa
Vipindi vya radio na TV vya zamani si vya sasa
Watangazaji wa zamani si kama wa sasa.
Usipobadilika kulingana na nyakati utateseka sana. Kwa hiyo mnataka kizazi cha JF 2006 kiendelee kuwa kile kile,kama kikifa chote? Na mtandao ufe? Ni mtazamo mbaya sana,jamii forum ipo kwa ajili ya jamii zote.
USIBISHANE NA NYAKATI UTAUMIA BURE
Imagine ๐คฃJF ya miaka ile tulikuwa tunaingia kutafuta programs za computer za uhakika kwa free, vitabu vikali, ushauri mzuri na msaada katika ngazi mbalimbali hadi serikalini na ngoma kali mbalimbali ambazo huwezi kuzipata hata youtube. Lakini sasa hivi ni tofauti ni vijembe tu, umbeya na umalaya ndo vimekithiri.
Pamoja sana mkuu๐Tatizo naona ni muundo wa hii app mpya ya JF, imefanya mambo yawe karibu zaidi.