Usilazimishe JF ya 2026 iendelee JF2006 kila kizazi na nyakati zake

Tatizo sio mabadiliko

Tatizo ni hayo mabadiliko kutokuwa chanya

Ndio maana watu wanaongea ,

Vijana wa siku hizi mnaojiunga humu hamna content ambazo ziliifanya Jf iitwe home of great thinker Wengi vichwa vyenu vimejaa kamasi ,

Zamani hata kama palikuwa na ujinga humu ni kwawango hafifu sana tofauti na Sasa , halafu pia majukwaa yote yalikuwa Hot now majukwaa baadhi yamepoteza ule mvuto wake kwasababu yamekosa watu wenye level ya IQ kama ya Members wengi wa Jf wa miaka hiyo uliyo itaja
Sure🤝
 
Tatizo la hawa watoto wa sasa wanajiona wanajuaa 😀😀😀

Ilihali ni wapumbavu kweli-kweli.

The scary part ni kwamba baadhi yao chini ya serikali ya Samia have been bestowed with the power to kill.

Basi wanajiona miungu watu kweli kweli na vimalaya vyao vya chit-chat.
Watu wanaofaulu kwa asilimia 99.8 unawaita wapambaff?
 
Acha tu, Tanzania tumefanya mambo rahisi mpaka basi.

Hao wapuuzi I don’t have the time and energy to know their names or see their images.

Wenyewe wanajiona shughuli yao clandestine kweli; whilst ain’t nobody got time to deal with fools.

Ningekuwa na shida ya majina yao na sura zao sasa hivi ningekuwa nazo. They don’t interest me, I have better things to worry about in my life.
 
Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko.

Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini?
Facebook ya 2005 sio ya sasa
Mziki wa bongo flava wa 2000 sio wa sasa
Dunia ya 1990 sio dunia ya sasa
Vipindi vya radio na TV vya zamani si vya sasa
Watangazaji wa zamani si kama wa sasa.

Usipobadilika kulingana na nyakati utateseka sana. Kwa hiyo mnataka kizazi cha JF 2006 kiendelee kuwa kile kile,kama kikifa chote? Na mtandao ufe? Ni mtazamo mbaya sana,jamii forum ipo kwa ajili ya jamii zote.

USIBISHANE NA NYAKATI UTAUMIA BURE
Hatutakubali kirahisi tu muigeuze JamiiForums yetu kuwa facebook au Tiktok. Nawahakikishia tutawazuia kwa nguvu zote.
 
Tatizo naona ni muundo wa hii app mpya ya JF, imefanya mambo yawe karibu zaidi.

Hizi "trends" zinazokuwepo zinamfanya mtumiaji aone hata nyuzi asizo na interest nazo.

Ni tofauti na ile app iliyopita ambapo nyuzi zilikuwa zinapatikana kwenye majukwaa husika, so kama wewe sio mpenzi wa chit-chat unakuwa huwezi kuona nyuzi zao.

Mimi naamini utoto ulikuwepo hata wakati ule, sema utoto ule ulifichwa kwasababu ya muundo wa app iliyokuwepo.
Sahihi kabisa, mfumo wa sasa wa JF una algorithm inayopendelea sana engagement (idadi ya komenti, hata kama ni matusi au ubishi wa kijinga) kuliko quality (hoja zenye mashiko).
 
Tatizo naona ni muundo wa hii app mpya ya JF, imefanya mambo yawe karibu zaidi.

Hizi "trends" zinazokuwepo zinamfanya mtumiaji aone hata nyuzi asizo na interest nazo.

Ni tofauti na ile app iliyopita ambapo nyuzi zilikuwa zinapatikana kwenye majukwaa husika, so kama wewe sio mpenzi wa chit-chat unakuwa huwezi kuona nyuzi zao.

Mimi naamini utoto ulikuwepo hata wakati ule, sema utoto ule ulifichwa kwasababu ya muundo wa app iliyokuwepo.
Kwani kwa sasa kuna mabadiliko yapi?
 
Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko.

Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini?
Facebook ya 2005 sio ya sasa
Mziki wa bongo flava wa 2000 sio wa sasa
Dunia ya 1990 sio dunia ya sasa
Vipindi vya radio na TV vya zamani si vya sasa
Watangazaji wa zamani si kama wa sasa.

Usipobadilika kulingana na nyakati utateseka sana. Kwa hiyo mnataka kizazi cha JF 2006 kiendelee kuwa kile kile,kama kikifa chote? Na mtandao ufe? Ni mtazamo mbaya sana,jamii forum ipo kwa ajili ya jamii zote.

USIBISHANE NA NYAKATI UTAUMIA BURE
Kwahiyo unataka tuchangie mawazo kwenye nyuzi ya "Demu wangu nimempigia simu hajapokea?" na Kuacha mijadala mikubwa ya Katiba Mpya ,Kupinga utekaji ,tanzania kunyimwa misaada .tunapigwa chini jumuiya ya madola?
 
Sawa
Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko.

Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini?
Facebook ya 2005 sio ya sasa
Mziki wa bongo flava wa 2000 sio wa sasa
Dunia ya 1990 sio dunia ya sasa
Vipindi vya radio na TV vya zamani si vya sasa
Watangazaji wa zamani si kama wa sasa.

Usipobadilika kulingana na nyakati utateseka sana. Kwa hiyo mnataka kizazi cha JF 2006 kiendelee kuwa kile kile,kama kikifa chote? Na mtandao ufe? Ni mtazamo mbaya sana,jamii forum ipo kwa ajili ya jamii zote.

USIBISHANE NA NYAKATI UTAUMIA BURE
Sawa dogo, umeeleweka!
 
Tatizo sio mabadiliko

Tatizo ni hayo mabadiliko kutokuwa chanya

Ndio maana watu wanaongea ,

Vijana wa siku hizi mnaojiunga humu hamna content ambazo ziliifanya Jf iitwe home of great thinker Wengi vichwa vyenu vimejaa kamasi ,

Zamani hata kama palikuwa na ujinga humu ni kwawango hafifu sana tofauti na Sasa , halafu pia majukwaa yote yalikuwa Hot now majukwaa baadhi yamepoteza ule mvuto wake kwasababu yamekosa watu wenye level ya IQ kama ya Members wengi wa Jf wa miaka hiyo uliyo itaja
Siamini Jf ya Sasa inaweza pita miezi sijaingia intelligent forum , zamani 2015-19 ilikuwa haipiti siku mbili bila kuingia intelligent ukiingia unakuta na mijadala mizito vigogo mbalimbali wakichuana kwa hoja na nyuzi makini , Sasa hata nikiingia hamna kitu.

Celebrity sio jukwaa la madini lakini nilikuwa sikosi kuchungulia napo kulikuwa 🔥 🔥

Jf ya zamani ilikuwa habari yeyote lazima hapa usikute mapema sana au kabla haijatoka lakini Sasa hata kupost watu wamekuwa wavivu kitu kinaweza kuwa trending lakini usikute Jf . Wanahabari wakubwa na wachambuzi walikuwa wanaiba makala , uchambuzi , taarifa na kuchukua data Jf lakini sasa sidhani kama wanategemea Jf kupata uchambuzi na kuiba makala.
 
Exactly diva alikuwa anachukua topic Jf Kisha ana ziingiza kwenye kipindi chake kwakujifanya kuwa ni kisa Cha kweli kumbe Katoa content huku ,

Jf ilikuwa ya moto sana Jukwaa la JI now days halina content kabisa wakati zamani ilikuwa ni Moja ya majukwaa yanayo shikilia nguzo ya heshima ya Jf , Jukwaa la biashara nalo ni Moja ya majukwaa niliyokuwa ninapenda kushinda huko kutafuta idea mbali mbali za biashara and the likes

Jf imepoteza ule ukuu wake huo ndio ukweli
 
JF ya miaka ile tulikuwa tunaingia kutafuta programs za computer za uhakika kwa free, vitabu vikali, ushauri mzuri na msaada katika ngazi mbalimbali hadi serikalini na ngoma kali mbalimbali ambazo huwezi kuzipata hata youtube. Lakini sasa hivi ni tofauti ni vijembe tu, umbeya na umalaya ndo vimekithiri.
Kwani sasa ukitafutq ushauri utakosa?
 
Back
Top Bottom