Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula.
Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake.
Sirudii mwenye akili aelewe mapenzi sio Gereza shiriki penzi kwa njaa na kiu yako sidhani kama mapenzi ni ujenzi wa nyumba.
Maisha ni sanaa na maisha ni akili