Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

mambo hayo
 

Attachments

  • Dress code.jpg
    19.7 KB · Views: 56
Unakuta binti katoka maswa mwanuzi mshamba akifika chuo anabadilikaa,alikuwa hajawahi kwenda club sasa ndio anaenda ,nyumbani kabanwa chuoni uhuru,akirudi likizo maswa anajifanya kashasahau kisukuma

hahahaa! anaongea kidaslam
 
kimsingi kila umri una caliber yake,
teen age lazima awe na swanga za kiteenage na old school kama mie swanga lazima ziwe za kizee hata iweje.

ajabu ni pale tu unapomkuta mtu ni old school halafu anaevolute -vely, lkn kama ana evolute in a +ve manner sidhan kama ni kosa sana ingawa kuwakumbusha kama alivyo fanya xir jyerphy ni sawa ili wakumbuke kwamba maisha hayaishii hapo
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu.sikuhizi hata vyuo vya engineering na udactari kuna mabisho kibao
 
Kwani siku hizi mzee PUNCH hafanyi kazi yake? ama mzee alisha-graduate?
 
Yaani unakuta demu toka primary mpaka secondary katulia tu akifika chuokikuu hapo ndio muda wake wa kugegedwa(kugongwa),kulewa,kuvaaa nguo za kubana na fupi ,ukutane na wale mademu waliosomea shule za seminary hataaree

aise kila mtu atavuna alichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…