Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

mabinti walikuwa wanavaa kyupi, underskirt na skin tight; leo hii aidha hawavai kabisa kyupi au wanatumia bikini. Mnapataje tabu watoto wa kiume miaka hii. Poleni

Daaa yani Mokoyo we acha tu
hawa viumbo wanatutesa sana
yani kidogo tu kapita mtoto, bwana pepsi huyoo, kazipu kamefura...
afu ukiangalia vizuri mtoto analitingisha kwa nyuma..
mweeee majanga
 
Last edited by a moderator:
Daaa yani Mokoyo we acha tu
hawa viumbo wanatutesa sana
yani kidogo tu kapita mtoto, bwana pepsi huyoo, kazipu kamefura...
afu ukiangalia vizuri mtoto analitingisha kwa nyuma..
mweeee majanga

inamisha macho yako chini
 
Last edited by a moderator:
kuna bwana mdogo mmoja alikuwa ananiambia kwenye lecture room kama pale Nkurumah inabidi wanaume wawahi seat za mbele maana ukikaa nyuma ya binti concentration inahamia kwa binti, lecture inakupita hivi hivi
Daaa yani Mokoyo we acha tu
hawa viumbo wanatutesa sana
yani kidogo tu kapita mtoto, bwana pepsi huyoo, kazipu kamefura...
afu ukiangalia vizuri mtoto analitingisha kwa nyuma..
mweeee majanga
 
Back
Top Bottom