xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
- #221
heheheee! mi namjua huyo ni form 6 leaver, but inawezekana pia yupo ndoani..
Basi itabidi nininue bandle la vicheko na majungu, nianze kuwacheka nyie mnaoenda jeshini saiv...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheheee! mi namjua huyo ni form 6 leaver, but inawezekana pia yupo ndoani..
mabinti walikuwa wanavaa kyupi, underskirt na skin tight; leo hii aidha hawavai kabisa kyupi au wanatumia bikini. Mnapataje tabu watoto wa kiume miaka hii. Poleni
mabinti walikuwa wanavaa kyupi, underskirt na skin tight; leo hii aidha hawavai kabisa kyupi au wanatumia bikini. Mnapataje tabu watoto wa kiume miaka hii. Poleni
Basi itabidi nininue bandle la vicheko na majungu, nianze kuwacheka nyie mnaoenda jeshini saiv...
duuh! vyote ivo, na joto lote hili!
mmh bestiii, sio vzur kuchekana loh!
Daaa yani Mokoyo we acha tu
hawa viumbo wanatutesa sana
yani kidogo tu kapita mtoto, bwana pepsi huyoo, kazipu kamefura...
afu ukiangalia vizuri mtoto analitingisha kwa nyuma..
mweeee majanga
wewe unavaa vingapi bibie?
Yani nisipowacheka ntakue nimechuma dhambi kwa mungu
me nlichekwa sana, nkaapa lazma nilipize visasi
mmh! sasa nawe wataka ujue tena vya ndanii..
inamisha macho yako chini
just learning and sharing, usijisikie vibaya
Tena cjui nianze na ww..
umepangiwa wap..?
Huyo ndo wale wale wa vibikini....
just learning and sharing, usijisikie vibaya
mi navaa vazi la heshma litakaloniweka comfotably mbele za watu!
Huyo ndo wale wale wa vibikini....
kwani saivi umevaa la heshima?