xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
- #181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta binti katoka maswa mwanuzi mshamba akifika chuo anabadilikaa,alikuwa hajawahi kwenda club sasa ndio anaenda ,nyumbani kabanwa chuoni uhuru,akirudi likizo maswa anajifanya kashasahau kisukuma
kimsingi kila umri una caliber yake,Do you, and let others do them.
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Pilipili ya shamba inakuwashiani?
Wengine watakwambia hii ndiyo age ya kufanya vituko wasije wakafikia ukomo wa utu uzima na kuanza kufanya fujo huko, utasemaje?
Wengine watasema in a Darwinian world, you are supposed to celebrate their "stupidity".
Mtu akikwambia ana masaa 24 ya kuishi na anajiblast kufurahia maisha utamwambiaje?
Unataka kuwapangia watu wazima wa Chuo Kikuu jinsi ya kuishi?
kundi lipi?
Nmewawekea jinsi vijana wanavyoaa sasa
sisi wakat tunasoma hayo hayakuwepo
mambo hayo
Those Early 70s ama...??
mbali sana 90s tu
Mbona haya madudu nilianzaga kuyaona kitambo kidogo....
Mbona haya madudu nilianzaga kuyaona kitambo kidogo....
90 90 na early 20s
hahahaa! anaongea kidaslam
Yaani unakuta demu toka primary mpaka secondary katulia tu akifika chuokikuu hapo ndio muda wake wa kugegedwa(kugongwa),kulewa,kuvaaa nguo za kubana na fupi ,ukutane na wale mademu waliosomea shule za seminary hataaree
hahahaa! anaongea kidaslam
Class mate umeanza lini hiyo tabiaa?? au unataka kuniteka?