Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Ndio utandawazi huo kila m2 cku hzi born twn hahuna ----- tena.wabush anapiga mlegezo n body tyt.bt wazazi ndio coz y yote cz mtoto akienda chuo hana mda wakufuatilia maisha yke, dstd y 2navilaza weng akimaliza chuo akipata job anawaza kuiba tu ale bata
 
madem wengi wakiingiaga chuo wanakuaga na vimbwanga..,baada ya sem1 utakuta kadem kanaongea kizungu km beyonce!...kaul km hz za madem zckushangaze"u know me i like soseji juice",kumbe juz juz kalikuwa kanakula nguna na michembe maskan yao!,n ful v2ko!
 

hahaaaa! siunajua ulimbukeni tena, we kamtu ivi unaexist kumbe? nimekutafuta kila kona cjakupata ulienda wap?
 


Aseee Geezzle...
usinivunje mbafu...
eti kalikua kanakula michembe..
haya bhana ndo madem zetu hao....!!
 
Last edited by a moderator:
Usipo enjoy maisha yako ukiwa chuo basi tena hutokaa ule raha zisizo na stress maishani. Chuo ndo sehemu ya kupiga bata mpaka kuku waone aibu. Kazi yako iko well defined : Kuattend lectures, kuattend seminars, kufanya assignments na mitihani.

Sasa usipokula raha hapo unasubiri hadi uje mtaani, uanze kulipa kodi ya nyumba, nyumbani wakutupie wadogo zako kadhaa uwalipie karo, hapo una ka girlfriend na kichango ya harusi kibao. Waacheni watoto wa chuo wakaramke, wajiachie, wajipe rehersal ya maisha ya mtaani. Haya mambo ya kutaka washinde library halafu wakiingia mtaani mnawacheka na mashati yao ya kariakoo na suruali za lesi lesi ni mbaya sana.
 

Ni kweli kabisa mkuuu wakifika chuo vitu kama ugali,mihogo ,michembe wanajidai hawali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…