Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

hahaaa! au unadhan bado una ban wangu? nimekutafuta kila kona hadi kule kwa wakubwa!

afu mbna hutiagi maguu kule kwa wakubwa!huwaga nakimbilia kule km huku kukidoda!ok endelea na mpigamsuli naona mnaka debate flan!
 
Ulikuwa unasomea tabora mkuu?shule gani?

Blaza me nlikua kuleee uhayani, sema boyz pale nlikua nini wana zaid ya laktisa...
mara nyingi nlikua napiga misuli boyz, kule skul ni kituo cha peji tu...
 
Blaza me nlikua kuleee uhayani, sema boyz pale nlikua nini wana zaid ya laktisa...
mara nyingi nlikua napiga misuli boyz, kule skul ni kituo cha peji tu...

BUKOBA ,> ihungo,kahororo,bukoba sec, rugambwagalz au
 
Mimi mkuu ugali ndio chakula changu tangu nipo uboysini mimi starehe yangu chuo ni CLUB hapa kiukweli huniambii kitu mimi napenda kula bata la CLUB na masela dah

hapo kwenye kukunja goti on stage 2po wote kaka!huwa huwa nkiruka ndebe nalease stress sana then nikiking'ata kitini lazma kikae2
 
Back
Top Bottom