xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
- #321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uboyzini ndo misele yng yota ilikua inaishia pale, natoroka maskuli nakuja kwenye machemba ya COI
eshy Ananijua mimi ni nani nimemvusha mara nyingi sana teh teh
univushe unanijua?
univushe unanijua?
hahaaa! au unadhan bado una ban wangu? nimekutafuta kila kona hadi kule kwa wakubwa!
Ulikuwa unasomea tabora mkuu?shule gani?
Kubali tu Eshy...
kwani nani atakunyooshea kidole....!!
Sipati picha mistari ambayo mpigamsuli alikua anaitumia kung'oa kisiki.... lol
Blaza me nlikua kuleee uhayani, sema boyz pale nlikua nini wana zaid ya laktisa...
mara nyingi nlikua napiga misuli boyz, kule skul ni kituo cha peji tu...
Mimi mkuu ugali ndio chakula changu tangu nipo uboysini mimi starehe yangu chuo ni CLUB hapa kiukweli huniambii kitu mimi napenda kula bata la CLUB na masela dah
Samahani !!
BUKOBA ,> ihungo,kahororo,bukoba sec, rugambwagalz au
Sasa hivi kanipa written documents, tena na sign ya Mama #Ndalichako
hahaaa! usiogope classmate
Nini nini niniiii....??
Umbea tu mtoto wa kike
we classmate njoo ujibu hapa! mi naitwa vivian?
asantee! ila mi michezo iyo sina naiogopaga sana!
umbea sunna! mi najuaga we mgumu, sasa hizo mambo vp tena