Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??


Yani wa hivyo ,mens we use them for dating not for marrying
 
Unakuta demu kaja vizuri ,wiki moja tu kachange nguo zote alizokuja nazo anadai anaenda na wakati ,
 
Unakuta demu kaja vizuri ,wiki moja tu kachange nguo zote alizokuja nazo anadai anaenda na wakati ,


Tena wengine hata hawafanani na huo wakati ambao wanadai wanaendana nao....
unakuta mtoto wa watu na slim body, vipaja kama njiwa eti nae anataka kuvaa miniskirt, mara demu ana pot belly na vigarden love vya kienyeji anataka ajinyuke tumbo-cut top
 
Usinichekeshe,hiyo ipo hata kwenye vyuo vya walimu?


Lol... makubwa na walimu nao!! , sasa kwanini wanatutandika mikwaju tukivaa visketi vifupi, milegezo, tukinyoa visean paul na vibaloteli....
 
Ndo unakuja oa kabinti kama hako nakuambia lazima ujue kilichosababisha mkia wa mbwa kujikunja.


Teteh teteh eti mkia wa mbwa kujikunja!! ,
wahivyo dawa yao ni ndogo tu kuwaangushia swags za kiold school, unajifanya mshamba,hujui modernization, no interconnection with the late ethics, hapo lazima awe mdogo..!!
 
Eeeh ndo nyinyi mlikua mnataka muwe host wa mkoa mpya wa simiu, muwachape fimbo bariadi... lol

mh! kuna mkoa mpya unaitwa simiu tena loh! mi mbona sijui, kwani tz had sasa kuna mikoa mingapi maana mdogo wangu wa primary anaweza niuliza af nikawa sijua, si aibu hii jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…