Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Tena walivo wabichi/watamu af washamba kwenye mapenzi, wahuni wa mujini wanajichukulia point tatu comfortably kwa kuwadanganya kwa shopping za nairobi (westgate mall, nakumat, shoprite.. ....
jioni jioni utaona v8, ford, prado imepaki pale kando ya chuo, jamaa anatoa kichwa kwenye tinted glasses, anaitwa msuper (xi xxx xi xi), mtoto wa watu huyooo fastafasta downstairs, anaingia kwa ndinga af stori inaenda kuishia paramela lodge..... hatareeee
Yani wa hivyo ,mens we use them for dating not for marrying