Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Mkuu hizo ni mbwembwe tu za chuo fainali mwishoni mwa mwaka umemaliza upo kitaa utasoma namba hata hizo..BB zitauzwa graduation watu wamekonda hatare..usipime kitaa ndo mwisho wa mbwembwe
 
mabinti walikuwa wanavaa kyupi, underskirt na skin tight; leo hii aidha hawavai kabisa kyupi au wanatumia bikini. Mnapataje tabu watoto wa kiume miaka hii. Poleni
Kwani kitambo kulikuwa hakuna swaga za ubabaishaji...?
 
Back
Top Bottom