PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Mshana Jr huwa hana makuu, pamoja na mada zake nyingi za kumulika na kufichua yaliyofichwa na kujificha, pia yeye siku hizi ameamua kuwa mtu wa Kukazia tu.
FaizaFoxy ...mwite majina yote, kuanzia kikongwe hadi ambayo sijayasikia yeye yupo tu, yupo kwa ajili kuelimisha, kuhubiri, kukera na kutetea.
GENTAMYCINE the Popoma himself, the most pure talented and Charimastic fella. Huyu unatakiwa ujue na umuelewa kabla ya kumsoma.
Tukienda kwa Dr Matola PhD mzee wa makonzi. Ukitofautiana naye jiandae ak7shie konzi la ngumi kwa mkono wake.
Turudi kwa UMUGHAKA The Story Teller, The bodaboda man, huyu na Chizi Maarifa siyo uzito mmoja, huyu wapo uzito mmoja ma GENTAMYCINE. Atakayekuja kujaribu kuwapatanisha UMUGHAKA na GENTAMYCINE nitamshughulikia, maana huyo atakua anajaribu kutuhujumu kwa kutuondolea burudani humu Jukwaani