Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Ahsante sana mkuu. Stori tamu
 
Wachache sana wanaweza kuelewa.
 
bora tu mpwayungu village yeye arudi tu hewani,story yake ilikuwa inatusisimua na kutuelimisha sana .....Ila huyu akili sina yeye anahaso lakini muda huohuo na yeye anawaza mbususu tu,kweli tutafika mwisho wa story akili sina atakuwa na watoto zaidi ya kumi
 
Anajiita Akili sina we ulitegemea awaje. Akat hana akili.
 
Safi kabisa mkuu huwezi kuulizwa safari Ni Nini? Upo bar ukasema Ni kitendo Cha kutoka sehem fulani kwenda sehem nyingne kwa umbali kadhaa
 
Kak uwe makini Kuna lijamaa la twita huko linajita buyobe atakuaja kuiba hii story na kwenda kuuza huko telegrams. Kama alivyo iba story ya yoga huku wew ukiwa ujapata lolote story Ni nzuri Sana Bora ukaiuze tu kuliko kuleta huku bure

Fany kitu hi story uiuze upige pesa mambo ya bure bure ishapitwa na wakt

Ni hayo tu
 
Mkuu me swali langu ni kwamba, mwanzonimwanzoni mwa story yako uliwahi sema kuna kipindi ulipigika ukaamua kurudi kule shuleni ulikosoma A-level ukawatangazia kuhusu kuwafundisha mdogo na muitikio ukawa fresh, ..kwa nn usingerudi kule ukawa unafundisha tu kuliko kupigika hivyo na uwezo wa kufundisha ulikuwa nao tena masomo ya sayansi ambayo ni big deal ?
 
story lazima tuuziwe ila tunakolezwa kwanza
 
daah....umenikumbusha Kiwanda cha A to Z ngoja niweke kambi ukute lbda hata nakujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…