Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Daah umenifungua macho mkuu, Ingawa mi nlitaka ku share tu masaibu yaliyonikuta maishani mwangu, kumbe kuna mjinga anaweza kupiga hela bure wakati mi namaliza bandle langu bure,

Basi ngoja niishie hapa, Poleni sana Wadau,

Ntaiandika yote alafu ntaileta yote kwa pamoja,

Ngoja sasa nianze kujibu comment
Mkuu kama bando shida weka namba tukutumie
 
Angetaka kusema passport angesemaje?
Mkuu nilimaanisha pasport size, sema tushazoea kitaani unaita tu passport, mfano unaskia naenda kupiga passport,hivyo yani,

Ningetaka kusema passport unayomaanisha wewe ningesema pas ya kusafiria, au hata kama ningesema passport lakini lazima mazingira yake yangekuwa ni ya kusafiri safiri hasa nje ya nchi
 
Mkuu me swali langu ni kwamba, mwanzonimwanzoni mwa story yako uliwahi sema kuna kipindi ulipigika ukaamua kurudi kule shuleni ulikosoma A-level ukawatangazia kuhusu kuwafundisha mdogo na muitikio ukawa fresh, ..kwa nn usingerudi kule ukawa unafundisha tu kuliko kupigika hivyo na uwezo wa kufundisha ulikuwa nao tena masomo ya sayansi ambayo ni big deal ?
Ni kweli, nilwaza pia hicho kitu, ila shida ilikuwa muda umeenda sana, kipindi kile nilifanikiwa sababu madogo walikuwa wananijua, pia walimu walikuwa wananijua ndo maana haikuwa shida,

Lakini kwa muda ule nisingeweza maana pale hayo mambo hayaruhusiwi na ukikamatwa ni kesi kubwa
 
Okay. Nilikwishaenda serikali za mtaa nikaombwa kitambulisho. Wakasema hata passport ni sawa. Nikatoa passport. Ikakubaliwa. Kwa hiyo mi nilijua wewe uliombwa passport na ukaomba Uhamiaji na ukaipata siku hiyo hiyo!

Anyway, niko na wewe mpaka mwisho. Najua siku hizi uko kwenye Baraza la Mawaziri. Nasubiri story ya siku uliyosikia uteuzi huo.
Mkuu nilimaanisha pasport size, sema tushazoea kitaani unaita tu passport, mfano unaskia naenda kupiga passport,hivyo yani,

Ningetaka kusema passport unayomaanisha wewe ningesema pas ya kusafiria, au hata kama ningesema passport lakini lazima mazingira yake yangekuwa ni ya kusafiri safiri hasa nje ya nchi
 
"Basi nikaona isiwe shida, nisije nikamuudhi mtoto mzuri bure, nikashuka nikaenda toilet, nikatoka nikaenda kununua sambusa mbili za nyama na soda nikarudi kwenye gari nikatulia," [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu Akili Sina kama bando tatizo weka namba tutasimamia show
 
"kuna siku nilienda pale nnaumwa balaa, yaan nashikiliwa nisianguke, ajabu nikapimwa maleria nikaambiwa sina, kwenda kairuki kupima nakutwa na maleria za kufa mtu, basi nikasema pale ukienda kupima hata uzito si ajabu ukaambiwa hauna" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema nini jafe umenichekesha mno hapo.[emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada,
Sahii na wewe ukituacha solemba kama zile maandazi zingine niamini Mimi, tunafanya maombi ya kufunga kwa ajili yako.!!
Hamuwezi kutuacha kila siku na utamu wakati ndiyo tunakaribia kileleni..!!
😂😂😂😂😂 wooiii kuna watu hamuwezi ingia Mbinguni walaqhi na mkifanikiwa kuingia mtakua mnatambaa mkiomba malaika awatengenezee uji mwepesiii maana mtakua mmechoka sanah🙌🏻
 
Back
Top Bottom